Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha, Mimi nikivuka tu mpaka kuingia Kenya ninahisi Kama nimeingia South Sudan au Eastern DRC, very unsafe and dangerous country.
Siku ya kwanza kwenda kenya jamaa wa immigration pale airport alivyoingiza passport yangu akaniuliza wewe huwa hutembelei huku sana eh nikamjibu ndio naanza kutembelea lakini moyoni nikajua alikuwa anashangaa inakuwaje mtanzania anaenda nchi zote hizo lakini hajawahi fika Kenya na hiyo ndio mentality ya wakenya walio wengi.
 

Ooh, Really you mean this Dodoma
IMG_5432.jpg

IMG_5058.jpg

IMG_5059.jpg
 
Yani kaumia hadi analeta screenshots za ujinga kulazimisha mawazo yake as usual. Jamaa Kazama mitandaoni kutafuta ufariji kwa kuleta hiI picha eti ni Lang'ata 😂 😂 😂
View attachment 2023849

Alafu alivyo mjinga haoni ndani ya screenshot pameandikwa Ongata Rongai
nikisema ww huna akili utanilaumu 🤣🤣 soma chini hapo
E8B2DAE3-BD64-4A4D-A639-FF2EAF2F9E0C.jpeg
 
Hamna ubavu wa kujenga hiyo barabara yote at a go kama unabisha leta company ilioshinda tenda za hizo kilometers zote, usitake kufanya watu hamnazo kama ninyi

Wa marekani walishaupotezea huo mradi
Acha kulazimisha fikra zako, it won't help danganyika overtake Kenya in anything


 
Acha kulazimisha fikra zako, it won't help danganyika overtake Kenya in anything


Wewe umenionesha kipande cha ujenzi, hicho kipande hakina mkandarasi? Mkandarasi anaitwa nani na mkataba wa hizo kilometers uko wapi ceremony yake? Leta ground breaking ceremony ya hizo kilometers hapa
 
Acha kulazimisha fikra zako, it won't help danganyika overtake Kenya in anything


Hahaha kutoka Nairobi hadi Mandera ni week 😂😂😂😂😂

Sasa zile kilometers 100k mlizonazo huwa zinaelekea wapi?

Kenya ni shithole kweli

The road is currently characterized by deep gullies and potholes and requires an off-road vehicle to navigate. Travelling to Mandera from Nairobi by bus takes about two days and during rainy seasons the journey can take up to two weeks as roads become impassable with buses and trucks carrying relief food getting stuck.

Mr Ali Nur, the Kenya National Chamber of Commerce and Industry (KNCCI) eastern region commissioner, said construction of the road will be a major boost to the region. “Currently travelling to Nairobi from Mandera takes not less than a week and this has led to this area being marginalised. The road will cut this time to less than 48 hours and improve security,” said Mr N
 
Acha kulazimisha fikra zako, it won't help danganyika overtake Kenya in anything


Mradi una lots 900 mpaka lots zote ziishe ni 2900, mtaendelea kutumia week nzima kusafiri Nairobi to Mandera kwa miaka mingi tu ijayo 😅😅😅

The 748km road highway project traverses five counties of Isiolo, Meru, Wajir, Garissa and Mandera. According to the authority, the road project has been divided into nine lots, all of which are in different stages of design. The design review for the 77km Isiolo-Kulamawe section has been completed with the project appraisal by the World Bank set for later this month.
 
Back
Top Bottom