Wakenya ni watu wapuuzi Sana, mlikua mkimchukia Magufuli kwasababu alikua anawazidi na kuwabana katika kila Jambo.
Magufuli siye aliyeweka hiyo Sheria, hiyo ni Sheria ya Nyerere na hakuna rais hata mmoja aliyeitengua, Hawa wanaharakati walipoanzisha vuguvugu la kudai hiyo Sheria irekebishwe ili waruhusiwe, Magufuli alikataa na kusisitiza kamwe hawatoruhususiwa badala yake wataendelea kusoma katika mfumo huo aliouanzisha Nyerere.
Kama Samia Suluhu Hassan ameruhusu kweli(sijawa na uhakika), basi itakua ni sehemu ya madhahifu yake ya kiuongozi na ninauhakika Mambo Kama haya yatagharimu Sana uongozi wake, sio rahisi "kumchallenge" Julius Nyerere politically" na ukabaki salama katika siasa za Tanzania.