Shebby01
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 2,520
- 5,872
Seriously mji wenu una muonekano wa kizamani sana, vumbi mtindo mmoja, typically Jerusalem ya mfalme Herode.me enjoying some khaligraph rap then boom i see how nice my city looks Sama boy 255 mbona una machungu hivi leo? View attachment 2020041View attachment 2020042View attachment 2020044
[emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]The best 007 for you who has been singing matofali if you know how to avaluate photos i want you to look at the size of the car in the picture and the size of that block to have a rough idea of the size of those blocks and how big they are the road is still under constructionView attachment 2020067
Za mbali ndio huwa zinawaumbua vzr mana ma slums hamuwezi kuyaficha na ndiyo maana hampendi kuweka picha za mbali, mnaweka za upande upande.Mnataka za karibu ndio zionyeshe tu majumba yaliyo kandokando ya barabara. Hamtaki za mbali zinazoonyeshe jinsi sehemu kubwa ya mji wenu ilivyo. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Za mbali ndio huwa zinawaumbua vzr mana ma slums hamuwezi kuyaficha na ndiyo maana hampendi kuweka picha za mbali, mnaweka za upande upande.
Wanajifariji kwa kutumia picha zilizopigwa kutoka mbali.
Hii Kasabuni naskia wanaogea jivu!
Ila wakifika Nairobi different story[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2020379View attachment 2020380View attachment 2020381
Hiki ni kinyesi au nyumba?Manzense uliotaja hapo juu[emoji116][emoji116]View attachment 2020228View attachment 2020229
Kama hii ni cbd basi Thika road, Mombasa road, Ngong road, Waiyaki way, Northern by pass, Limuru road etc zote ni cbd [emoji23][emoji23]Dar second cbd vs Mombasa road [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji706]View attachment 2020250View attachment 2020251
Inamaana hapo Nairobi hakuna projects za serikali zenye kulenga huduma za kijamii?, Maji, makazi, ajira, Hospitali, usalama wa raia na chakula.I thought this thread is about Nairobi vs Dar. Why do you feel offended? Fungua thread ya Kenya projects vs Tanzania projects tutachangia ndugu
Slums, njaa, water scarcity, unemployment rate and higher rate of crime navyo vinaonyesha nini hapo Nairobi?[emoji23][emoji23][emoji23]Malls zinaonyesha jinsi gani uchumi upo imara na mzunguko wa hela vile vile
Kwn njaa ndio kipimo cha utajiri, crime rate hata watoto wa ushuani ni wahuni tena mbaya sana..nawajua kadhaa..Slums, njaa, water scarcity, unemployment rate and higher rate of crime navyo vinaonyesha nini hapo Nairobi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Twende battle za hospitali za mitaani, dar vs nai..Inamaana hapo Nairobi hakuna projects za serikali zenye kulenga huduma za kijamii?, Maji, makazi, ajira, Hospitali, usalama wa raia na chakula.
Kariadudu na gonganjaa majina mazuri sanaNairobi slums zile hazitajwi
1.Ngei
2.Kisumu ndogo
3.kona mbaya/paradise/madrakos
4.ngomongo
5.kariadudu
6.kasabuni
7.darfur
8.glu collar
9.gonga njaa
Etc
Kenya kutaka kujilinganisha na Tanzania katika Hospitali ni kichekesho[emoji23][emoji23][emoji23]Twende battle za hospitali za mitaani, dar vs nai..
Uko poa ama utakimbia km juzi tu, tukimalizana na hospitali tuubganishe na battle ya shule za mitaani
Twende mzee[emoji1787][emoji1787]unalia nini..hospitali za mitaani dar vs nairobi, maneno ya niniKenya kutaka kujilinganisha na Tanzania katika Hospitali ni kichekesho[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sio mtaalamu wa picha, ngoja wataalamu niwaombe wakurarue"Healthcare" mpka kw slums area..
joto la jiwe njoo hukuView attachment 2020535View attachment 2020536
There is no place Gongo la njaa in Nairobi. Propaganda za Nyerere mtaachaKariadudu na gonganjaa majina mazuri sana