Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Kijana mdogo huu mchezo hautaki hasira,😂😂 hizo ni picha za kipawa ward zilizopigwa na wenzenu, please channel your anger to your leaders. Usinilaumu kwa umaskini wenu.Mzee hizi picha unazifanyaga nini .. uliona wapi ushindani wa hivi.? Njoo na fair comparison kama unashinda utashinda tu lakini kama utashindwa ndio hivyo tena hutotoboa mzee .. kwanini ulete picha za zamani alafu unazichafua.? We ni kichaa.?


