Naamini Tanzania tuna uwezo wa kufikia level za hawa jamaaView attachment 2017729View attachment 2017732View attachment 2017733View attachment 2017734

Wapi hii mkuu.Naamini Tanzania tuna uwezo wa kufikia level za hawa jamaaView attachment 2017729View attachment 2017732View attachment 2017733View attachment 2017734
Miaka ya nyuma kuna bidhaa zilikuwa zimeandikwa zimetokea Kenya lakini sasa hivi zimeandikwa zimetoka South Africa na nchi zingine...kwani wamepatwa na nini!huo ndiyo ukweli ,industry yao ya local product ipo chini sana lazima wategemee vya kuagiza kwa asilmia kubwa



Miaka ya nyuma kuna bidhaa zilikuwa zimeandikwa zimetokea Kenya lakini sasa hivi zimeandikwa zimetoka South Africa na nchi zingine...kwani wamepatwa na nini!
Kwani mabwana zao wamengoa hizo viwanda na kuhamishia kwenye nchi zingine!![]()
Kua na aibu kijnaLeta ushahidi. Hatujawahi kosa umeme
Blackout yetu ya siku moja unataka kuicompare na power rationing yenu inayokuja? Hahhahaha.Au sio nyieView attachment 2017776
Malezi uliyolelewa jitahidi usiwalee hivyo wanao,jitahidi sana uwafundishe kuheshimu watu malezi uliyakosa kwa wazazi wakoKwa hiyo wewe siyo mpuuzi!!!!!!!!!
Malazy wacheni kusumbuana.Malezi uliyolelewa jitahidi usiwalee hivyo wanao,jitahidi sana uwafundishe kuheshimu watu malezi uliyakosa kwa wazazi wako


Tanzania tunaweza kuishi bila wao ila wao hawawezi kuishi bila Tanzania.Hata siku ile Jamaa alidai yale maziwa Ya Uniliver yametengenezwa kwao, nilicheck nikakuta Made in South Africa.
Kwa ujumla Kwenye Super market nyingi za Bongo, products nyingi zilizokua za kenya zimekua replaced na SA products. Blue band yao bado ipo lakini.
Najua haujawahi kupostiwa huu, huwa tunausahauhujaiba picha kama wakenya?
huu uwanja mpya au vip







