Shebby01
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 2,520
- 5,872
Potsdam Germany mkuu wenzetu wako vizuri SanaWapi hii mkuu.
Nina Imani tunaweza,maana ardhi tunayo,uwezo tunao tuwe na imani
Potsdam Germany mkuu wenzetu wako vizuri SanaWapi hii mkuu.
Inasikitisha Sana,mkuu😔😔😔Ila Nina Imani tunaweza kufika hatua hii sema itachukua muda Ila it's worth waiting naamini Tanzania has full potential.shida ni leadership iliyopo haiwazi vitu kama hiv
zaidi ya kuimarisha diplomacy, hata sielew muelekeo wao mwingine ni upi
🤣🤣🤣🤣🤣Miaka ya nyuma kuna bidhaa zilikuwa zimeandikwa zimetokea Kenya lakini sasa hivi zimeandikwa zimetoka South Africa na nchi zingine...kwani wamepatwa na nini!
Kwani mabwana zao wamengoa hizo viwanda na kuhamishia kwenye nchi zingine!![]()
Inasikitisha Sana,mkuuIla Nina Imani tunaweza kufika hatua hii sema itachukua muda Ila it's worth waiting naamini Tanzania has full potential.
.. Majaliwa atakuwa Rais .. yey pekee ndo namuona yuko serious na nchiTanzania inahitaji wataalamu wengi zaidi. Especially watu ambao wamepata elimu kutoka kwenye vyuo mahiri nje ya nchi ili walete utaalamu wao nchini kuleta maendeleo tofauti. Ni Sawa na jinsi serikali inavyopeleka watu kusoma jinsi ya kuendesha treni ya umeme Korea. Kama serikali ikianzisha exchange programs Kati ya vyuo vya Tanzania na vya nje, au wakiboresha umahiri wa vyuo vya ndani Kwa kuongeza courses/degrees ambazo hazipo kwa sasa, then naona mabadiliko yatatokea. Tuna wizara mbovu zinazohitaji wataalamu kama wizara ya ardhi…they do nothing! Miji ya Tanzania unakuta nyumba Nzuri lakini barabara ya vumbi, sewerage systems: nonexistent, na mpangilio wa Miji ni janga la taifa.Potsdam Germany mkuu wenzetu wako vizuri Sana
Nina Imani tunaweza,maana ardhi tunayo,uwezo tunao tuwe na imani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ayaa bwana tuombe uzima,aisee kuna kamji kanaitwa Utrecht daaah nakumbuka time Fulani nilishangaa kuona jamaa wana ka nchi kao kadogo lakini everything so organized na clean nilikua challenged nikatamani hiyo infrastructure ingekua bongo Ila tuwe na subira nina Imani.i believe, one day unexpectedly.. Majaliwa atakuwa Rais .. yey pekee ndo namuona yuko serious na nchi
Kweli Sana mkuu ukiangalia mfano sehem kama hii Yani Ka kisiwa kadogo lakini raia wa hapa Wana jitoshelezaTanzania inahitaji wataalamu wengi zaidi. Especially watu ambao wamepata elimu kutoka kwenye vyuo mahiri nje ya nchi ili walete utaalamu wao nchini kuleta maendeleo tofauti. Ni Sawa na jinsi serikali inavyopeleka watu kusoma jinsi ya kuendesha treni ya umeme Korea. Kama serikali ikianzisha exchange programs Kati ya vyuo vya Tanzania na vya nje, au wakiboresha umahiri wa vyuo vya ndani Kwa kuongeza courses/degrees ambazo hazipo kwa sasa, then naona mabadiliko yatatokea. Tuna wizara mbovu zinazohitaji wataalamu kama wizara ya ardhi…they do nothing! Miji ya Tanzania unakuta nyumba Nzuri lakini barabara ya vumbi, sewerage systems: nonexistent, na mpangilio wa Miji ni janga la taifa.
Kweli Sana mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tanzania tunaweza kuishi bila wao ila wao hawawezi kuishi bila Tanzania.
Ukipata muda tembelea the Rhine area. Miji mingi popular ya Germany kama Cologne na Düsseldorf ipo kwenye hilo eneo. And the cities are pretty good. Panda treni au drive on the autobahn.Kweli Sana mkuu ukiangalia mfano sehem kama hii Yani Ka kisiwa kadogo lakini raia wa hapa Wana jitosheleza View attachment 2017924
Sema sijapata safari ya hivi karibuni kwenda Europe maana hizo picha zilikua za mwezi wa tano mwaka huu,Ila panapo Majaaliwa natamani nifike Reykjavik na Copenhagen nione pamekaa VP😃😃Ukipata muda tembelea the Rhine area. Miji mingi popular ya Germany kama Cologne na Düsseldorf ipo kwenye huko eneo. And the cities are pretty good.
hatariTumeongeza US Dollar Milionea Mwingine leo Arusha.
Hawa Akina leizer ni hatari Sana 😃😃Tumeongeza US Dollar Milionea Mwingine leo Arusha.
Eti tuliweka pesa yetu fixed against the dollar? 😂 😂Wacha kuwa mjingaaa....siyo IMF walio wambia mnaweka pesa yenu fixed against usd?...nikichwa yako tu ndio kubwa akili huna
Unataka nasi pia tutoe maneno vichwani mwetu na tuyalazimishe kwa wengine jinsi mnavyofanya ndio ujue tumejikomboa kifikra?Nyote wawili mnahitaji kujikimboa kifikra ....
Uzuri ni kwamba wewe unataka nikubaliane na mawazo yako binafsi (personal opinion) wakati mimi nakupa data ya wataalam ambayo imefanyiwa utafiti na kuchambuliwa. Maisha ya ukunguni ni yale ya wananchi wenu milioni 28 who live in extreme povertyuwe unaelewa unachosoma ,usiwe unasoma vitu kama kasuku,
umevimbe upasuke uhalisia maisha yenh ni ya ukunguni tu
hamna jipya
Tanzania inahitaji wataalamu wengi zaidi. Especially watu ambao wamepata elimu kutoka kwenye vyuo mahiri nje ya nchi ili walete utaalamu wao nchini kuleta maendeleo tofauti. Ni Sawa na jinsi serikali inavyopeleka watu kusoma jinsi ya kuendesha treni ya umeme Korea. Kama serikali ikianzisha exchange programs Kati ya vyuo vya Tanzania na vya nje, au wakiboresha umahiri wa vyuo vya ndani Kwa kuongeza courses/degrees ambazo hazipo kwa sasa, then naona mabadiliko yatatokea. Tuna wizara mbovu zinazohitaji wataalamu kama wizara ya ardhi…they do nothing! Miji ya Tanzania unakuta nyumba Nzuri lakini barabara ya vumbi, sewerage systems: nonexistent, na mpangilio wa Miji ni janga la taifa.
hao hao watalaam walikuita wewe nyani,je kweli wewe ni nyani?Uzuri ni kwamba wewe unataka nikubaliane na mawazo yako binafsi (personal opinion) wakati mimi nakupa data ya wataalam ambayo imefanyiwa utafiti na kuchambuliwa. Maisha ya ukunguni ni yale ya wananchi wenu milioni 28 who live in extreme poverty
Hao hao waliotuita nyani ndio pia walitangaza kwamba hampo tena kwenye kundi la LDC. Hamkupinga hiyo ripoti yao bali mlishangilia na kusema mumepiga hatua kama nchi. Hapa ndani, nyuzi zilifunguliwa si haba kutangazia dunia kwamba mabeberu wamesema Tanzania haipo tena kwenye ile kundi la aibuhao hao watalaam walikuita wewe nyani,je kweli wewe ni nyani?
Uwanja wa siku nyingi sana pembahujaiba picha kama wakenya?
huu uwanja mpya au vip