Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuko na mjadala wa data za shoga yako kwanza. Hebu tusaidie kuzichanganua bhas maaana wewe uko mombasa hapo tuambie ni mizigo gani mna import Kwa volume kubwa hivyo for just local consumption.
Mjadala wa data, emu ziletete hzo data alizoleta akafu utuambie unalia nini...manake ninavyojua data hupingwa kw data wala sio maneno matupu...
 
Vile unachukua normal against the best yet still inapanguswa kalio
Imebidi nijibu this ignorance.., eti hizi mitaa ya Nax Vegaz ni best? 😂 😂 😂 unajua mitaa ya kifahari in Nakuru wewe., sikuweka humu kilaza 😂 😂 😂 😂 😂 they are not here., 👇 👇 👇 , hadi raha, ndio mjue Kenya sio size yenu 😂 😂 😂 😂 😂
3000944_JamiiForums1527534153.jpg
 
More than a half of residential houses in Dar ni uswazi aka dreamhouses. Mbona unajitekenya? Hizo dreamhouses ndio uswazi babaa kama hujui.
Nataka ukubali kwamba maskini wa NAIROBI akija DSM atakufa, hawezani .. maskini wa NAIROBI ako na hali mbovu zaidi kulinganisha na maskini wa Dar, since maskini wa NAIROBI wanaishi kwenye nymba zenye kuta za mabati.. 😂😂😂
 
Plus Dar ina watu milioni 7
Nairobi milioni 4
Mombasa milioni 1
Millioni saba kwasababu taifa lina city moja nyote fukara kutoka vijijini mnakimbilia dar kutafuta maisha., sitashangaa mkifika millioni kumi before 2025! ufukara vijijini ni mingi mno 😂 😂 😂 😂 ., na yale vijiji mnaita city hazina uwezo wa kiuchumi kuwezesha watu wengi kufaulu., ni Dar mnaelekea nyoote, ona ufukara mlio mwaga jijini Dar., uswazi kote kote., nyumba za ovyo, vichochoro sehemu mingi sana gari haiwezi kuingia, balaa!! ni aibu sana!
Ukubwa wa Dar ni population, ukubwa wa ujenzi ni makazi uchwara 😂 😂 😂 😂
1637142041121.jpeg

1637141996743.jpeg
 
Imebidi nijibu this ignorance.., eti hizi mitaa ya Nax Vegaz ni best? 😂 😂 😂 unajua mitaa ya kifahari in Nakuru wewe., sikuweka humu kilaza 😂 😂 😂 😂 😂 they are not here., 👇 👇 👇 , hadi raha, ndio mjue Kenya sio size yenu 😂 😂 😂 😂 😂
3000944_JamiiForums1527534153.jpg
Hiki ni nini 😂😂😂, kwa kujifanya kichaa hujambo
 
Millioni saba kwasababu taifa lina city moja nyote fukara kutoka vijijini mnakimbilia dar kutafuta maisha., sitashangaa mkifika millioni kumi before 2025! ufukara vijijini ni mingi mno 😂 😂 😂 😂 ., na yale vijiji mnaita city hazina uwezo wa kiuchumi kuwezesha watu wengi kufaulu., ni Dar mnaelekea nyoote, ona ufukara mlio mwaga jijini Dar., uswazi kote kote., nyumba za ovyo, vichochoro sehemu mingi sana gari haiwezi kuingia, balaa!! ni aibu sana!
Acha kujamba wewe leta Takwimu za wakazi wa hizo City zenu..
 
Back
Top Bottom