eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,780
- 16,455
Global warming and rising sea water levels itafunika izi zote by 2100
Wivu ni kidonda ukishiriki utakonda.
Global warming and rising sea water levels itafunika izi zote by 2100
Longest Route is Mtwara to MutukulaHivi ni sehemu gani ndani ya Tanzania unaweza kusafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ukatumia masaa 96 njiani?
why would anyone waste his/her time with these 2 low IQ fellas???serekali yenu ilihesabu watu wote??
Kukiwa na maana hakuna sehemu ya kusafiri masaa 96 kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine.Longest Route is Mtwara to Mutukula
View attachment 2015029



Huu ndio ukweli.Live bila chenga View attachment 2014908
Kwnn umesema hivyo mkuuHivi ni sehemu gani ndani ya Tanzania unaweza kusafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ukatumia masaa 96 njiani?






Mpo over 55mil, mnapigana kuni ile mbayawhy would anyone waste his/her time with these 2 low IQ fellas???





Dwarf km dwarf, hapo hakuna cha uzuri wala niniHiyo haitobadili ukweli ni bridge ndefu na nzuri zaidi East and Central Africa hata ulie![]()


Mumepigwa mzee



Hii watakujibu Wakenya wenzio kimoyo moyo.Mumepigwa mzee
Km daraja la waenda kw miguu tu, contractor Mungu anamuona walai..
Haiwezekani daraja liwe la kiboya hvo bana
Jamaa mumeingia cha kike, yani kitu dwarf mkanyooshewa nyoeshewa michuma basi mnakuta mumeshamaliza..Hii watakujibu Wakenya wenzio kimoyo moyo.


why would anyone waste his/her time with these 2 low IQ fellas???
Say world slave cityNairobi itakua world class city

sasa kama barabara mnalipia hiyo ni nini kama siyo slave cityHivi huyu mjambiani ameproject kitu gani toka aingie ikulu maana mang'amuzi ya jpm yanakwisha soon sijui tutapambana vipi na hawa nyangau za kenya maana kasi ya magufuli iliwa activate wakenya pia nao wana tengengeza miji yao kwa bidii kama kuweka na kujenga njia za wapita kwa miguu nairobi kwa kuzipendezesha .....sisi tumeondoa wamachinga lakini hakuna maboresho yoyote ya kupendezesha miji au mitaa !!! Kkoo kunamajengo hayajawai kufanyiwa ukarabati wala kupakwa rangi toka uhuru ,sijui kwanini serikali inaangaika na kutoza tozo masikini wakati hao wenye majengo machafu wangekuwa wanapigwa faini serikali ingepata mamilioni ya dola