Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Why keep on repeating the same thing na tukiwashinda mtabadilisha tu goli? 🚮 🚮
Hiyo battle imewahi kufanywa wapi.? au unaogopa.? Yani battle ya Over ten floors buildings in DOM vs any of your so called City, exclude NAIROBI &MOMBASA ...? unaogopa.? DOM Iko na old CBD, New CBD under construction & DOM government City(Smart City).. kabla hiyo miji miwili (gov city & Dom new CBD) ikamilike, I'm 100% sure hakuna jiji lenu lolote kuanzia Kisumu kushuka chini inawezana na DOM when it comes to buildings especially those ones with over 10 floors & beautiful buildings.. kama unabisha twende ground
 
Kama Uganda wangepitisha hio pipeline yao Kenya saa hii hio pipeline ingekuwa inatoa mafuta. Lakini walijifanya wajanja wakaamua kupeleka pipeline yao kwa Malazy. Sasa ona bado pipeline imwekwama. Kenya ni watu wachapa kazi, kama wangeileta huku kazi ingekuwa imeisha na pipeline ingekuwa imekamilika.
Investors wameogopa vita vya ukabila Kenya, alafu hyo ni project kubwa so inachukuwa muda mrefu usifananishe na vimiradi kama expressway.
 
Kama Uganda wangepitisha hio pipeline yao Kenya saa hii hio pipeline ingekuwa inatoa mafuta. Lakini walijifanya wajanja wakaamua kupeleka pipeline yao kwa Malazy. Sasa ona bado pipeline imwekwama. Kenya ni watu wachapa kazi, kama wangeileta huku kazi ingekuwa imeisha na pipeline ingekuwa imekamilika.
SGR inafika lini Malaba? Talking about being lazy.
 
Hiyo battle imewahi kufanywa wapi.? au unaogopa.? Yani battle ya Over ten floors buildings in DOM vs any of your so called City, exclude NAIROBI &MOMBASA ...? unaogopa.? DOM Iko na old CBD, New CBD under construction & DOM government City(Smart City).. kabla hiyo miji miwili (gov city & Dom new CBD) ikamilike, I'm 100% sure hakuna jiji lenu lolote kuanzia Kisumu kushuka chini inawezana na DOM when it comes to buildings especially those ones with over 10 floors & beautiful buildings.. kama unabisha twende ground
Nakwambia sina huo muda maanake it would lead to nothing. I know you. You'll simply shift goals. Otherwise Kisumu and Eldoret all have more 10+ buildings than Dodoma. Nakuru would too but unfortunately, buildings that tall are banned in Nakuru due to siesmic reasons (Google that, you are a Tanzanian, you obviously don't understand it). 🚮 🚮
 
Nairobi ikikaririwa na CCM ni tofauti na Nairobi kwa ground.
Hapa ni Kangemi slums. 70% ya barabara ambazo zimekatiza ndani ya slums zina cabro pavement kufikia November 2021 na bado mradi wa kueka kabro kwa kila barabara ndani ya slum unaendelea. Tembea Nairobi ujione mwenyewe. View attachment 2010008
Hii ss ndio Nairobi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
SGR snaking through the Tsavo National Park View attachment 2010175
Mtungi a.k.a Gobole[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums1469310486.jpg
 
Sasa huyu tubarabara mbona tumejazana ktk mitaani mfano mitaa ya mwananyama, tena sio paves ni zege...
Leta picha wacha kukariri.
Tumezoea Mtanzania hapa jamii anaweza sema kitu chochote ilimradi ajifurahishe. Leta picha nilivyoleta.
 
Back
Top Bottom