Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe mjinga nakuletea taarifa ya WB alafu unailetea viblog. Utarevuka lini?
mm au wewe😂😂😂


 
Wewe mjinga nakuletea taarifa ya WB alafu unailetea viblog. Utarevuka lini?
mm au wewe😂😂😂 fungua link basi







 
President Kenyatta huyo, yuko Ethiopia kujaribu kusuluhisha mapigano.
1636915593049.png
 
Watu picha za Kibera na za ma slums ya Kenya wanazipa jina la Dar alafu wanaweka mtandaoni mbwa hawa, yani Tz tumepambana kuhakikisha hakuna slums in Tz wao wanatuchafua kwa kuweka maslums yao na kuyapa jina la Dar [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi hapa ni Kibera, 👇 🤣 🤣 🤣

3000075_1.jpeg
 
kila siku munachoma shule wakenya muna matatizo gani Tony254




Ujinga ambao serikali ya Kenya ilifanya ni kwamba ilipiga marufuku kiboko shuleni. Zamani wakati wetu, tulikuwa tunachapwa kama punda hata hungepata wazo la kuchoma shule. Siku hizi hawa watoto wa cerelac na weetabix wamedekezwa sana eti hawachapwi shuleni. Mwishowe wanakuwa watundu kushinda ichoboy01
 
Back
Top Bottom