Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Reality vs render.
FB_IMG_16369113464237004.jpg
 

Attachments

  • FB_IMG_16369115223985235.jpg
    FB_IMG_16369115223985235.jpg
    76.6 KB · Views: 19
Sema tu hamna cha kuonyesha, wacha maneno mingi.
Kati ya cc na nyinyi nani ameweka picha mpya? Nyinyi picha yenu mpya ni ile ya one project but the rest ni zile zile, cc tumeweka nyingi za Dar mpk Dom unasemaje hatuna cha kuonesha?
 
One project from morning to evening [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watu picha za Kibera na za ma slums ya Kenya wanazipa jina la Dar alafu wanaweka mtandaoni mbwa hawa, yani Tz tumepambana kuhakikisha hakuna slums in Tz wao wanatuchafua kwa kuweka maslums yao na kuyapa jina la Dar [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haya hapa ma slums ya Kenya wameyapa jina la Dar [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20211114-210812.jpg
Screenshot_20211114-210828.jpg
JamiiForums-589057497.jpg
 
How are you my fellow Kenyans, nyi wengine bladfakin nyote.
Wewe c nilisikia umekufa wewe? Btw vipi yule mtu wako uliyemtuma aje Dar nasikia aliamua kuishi Dar kabisa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe c nilisikia umekufa wewe? Btw vipi yule mtu wako uliyemtuma aje Dar nasikia aliamua kuishi Dar kabisa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kijana Yuko kwa four months, Sina haraka na yeye.
 
Back
Top Bottom