chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,122
Dom ndio council yenye mtandao mkubwa wa lami kuliko council yoyote Tanzania, if you didn't know thatThanks for the pictures, now see how Dodoma roads ni vumbi tupu.
![]()
Dom ndio council yenye mtandao mkubwa wa lami kuliko council yoyote Tanzania, if you didn't know thatThanks for the pictures, now see how Dodoma roads ni vumbi tupu.
![]()
90% ya wakazi wa dodoma wanaishi kwenye 1 stand residency, quality ya housings za Dodoma ni less than 20% ya Nairobi residents wanaweza kumuduKwani hiyo picha moja ni mimi nd`o nimeipost hapa ama ni wewe?
Kama hamkufa then where is Magufuli?But we didn’t die. You should’ve embraced our way.
Mama Acha apambane na hali yake maana She isn’t good enough at raising funds with domestic sources the way JPM did.
Dom ndio council yenye mtandao mkubwa wa lami kuliko council yoyote Tanzania, if you didn't know that
Kama hamkufa then where is Magufuli?
Ukwelui ndio hampendi, and I can see I have hit a nerve.Wewe ni akili ndogo. I always wonder how people waste their time arguing with you.
Kama Uganda wangepitisha hio pipeline yao Kenya saa hii hio pipeline ingekuwa inatoa mafuta. Lakini walijifanya wajanja wakaamua kupeleka pipeline yao kwa Malazy. Sasa ona bado pipeline imwekwama. Kenya ni watu wachapa kazi, kama wangeileta huku kazi ingekuwa imeisha.
Nadhani maza amemuacha Kassimu ili tu apate sapoti ya wananchiMajaliwa yuko vizuri sana, angetutoa, ila ndo hivyo, hana meno, amezungukwa na wapigaji hata hajui ajiweke vipi. Siunakumbuka mama alipobadilisha baraza la mawaziri pale mwanzoni mwanzoni alionekana kuwa na wasi wasi mpaka alipowataja wote na ndipo yeye akaanza kutabasamu.