The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Tony mbn unaongea vitu km mlevi mzee, Dom ni jiji jipya, yn tumeamua kulijenga sasa wewe unataka tuache kujenga majengo na infrastructures muhimu zitazobebwa na roads tujenge barabara akili ya wapi hii, by the way ring road inakuja soon pia maendeleo ya Dom mshayaona na tutakuwa tunapost humu ili mjue kwamba cc ndiyo baba hapa EA.Kwanza Kampala na Kigali zimepiga Dodoma kama mbwa koko. Kwa hivyo ujue Dodoma bado mtoto mdogo mbele ya miji mikuu mingine hapa AM. Serikali yenu imehamia Dodoma juzi tu wakati wa Magufuli kwa hivyo Dodoma bado haijajengeka kama miji mikuu ya Uganda au Rwanda. Halafu asante kwa kupost picha nyingi za Dodoma angalau unatufunza mengi kuhusu mji huu ambao hauna lami sehemu nyingi. Picha zenyewe ni nzuri na zinafunza mengi. Ipe Dodoma miaka kumi ndio itaanza kushindana na Kigali. Miaka ishirini ndio itaanza kushindana na Kampala.
The best 007 ulikuwa unakejeli barabara za Kenya kwa sababu Kenya ina mchanga mwekundu sasa mbona naona Dodoma pia ina mchanga huo mbaya mwekundu ambao huupendi.
Tatu City failed? Is your head okay? Ama unadhani ni Kawe City na Kigamboni City?![]()
Wewe usiongee mambo usiyoyajua. How did Tatu city fail? Usiropokwe hovyo kama huna picha latest ya Tatu city sema uletewe sio kuropokwa hovyo. Kuna watu wanaishi ndani ya Tatu city. Kuna wanafunzi wanasomea ndani ya Tatu city. Kuna warehouses zinafanya kazi ndani ya Tatu city. Kuna kampuni kubwa kama Dormans coffee kampuni ya kuprocess coffee inayofanya kazi ndani ya Tatu city. Sema ufundishwe kama hujui sio kuropokwa tu.
Ebu tuonyeshe izo tatu city na konzaaWewe usiongee mambo usiyoyajua. How did Tatu city fail? Usiropokwe hovyo kama huna picha latest ya Tatu city sema uletewe sio kuropokwa hovyo. Kuna watu wanaishi ndani ya Tatu city. Kuna wanafunzi wanasomea ndani ya Tatu city. Kuna warehouses zinafanya kazi ndani ya Tatu city. Kuna kampuni kubwa kama Dormans coffee kampuni ya kuprocess coffee inayofanya kazi ndani ya Tatu city. Sema ufundishwe kama hujui sio kuropokwa tu.
New fleet
Ebu tuonyeshe izo tatu city na konzaa



Alot involves in building a city boss city si Kijiji you just build now most roads are done the sewage systems is done and now even the real estate agents are marketing there plots there as fully serviced plots water electricity roads sewage system all ready all you have to do is build since the crucial part is over now raising buildings wount take more than two yearsShare aerial view ya tatu city
Fundi kitasa game over for konza see detailed progress there konza has already reached the second phase too and it's progress now is very stableWako busy wanatafutiza vipicha, acha tuwasubiri![]()
So hii ndiyo mnalinganisha na Dodoma? Kwahiyo render na vijengo viwili vitatu tayari imeanza kupambana na Dom jiji tulilotumia bilions of money kulijenga, Wakenya hamna akiliAlot involves in building a city boss city si Kijiji you just build now most roads are done the sewage systems is done and now even the real estate agents are marketing there plots there as fully serviced plots water electricity roads sewage system all ready all you have to do is build since the crucial part is over now raising buildings wount take more than two years View attachment 2008606View attachment 2008607View attachment 2008610View attachment 2008611View attachment 2008612View attachment 2008613View attachment 2008614








Alot involves in building a city boss city si Kijiji you just build now most roads are done the sewage systems is done and now even the real estate agents are marketing there plots there as fully serviced plots water electricity roads sewage system all ready all you have to do is build since the crucial part is over now raising buildings wount take more than two years View attachment 2008606View attachment 2008607View attachment 2008610View attachment 2008611View attachment 2008612View attachment 2008613View attachment 2008614
So hii ndiyo mnalinganisha na Dodoma? Kwahiyo render na vijengo viwili vitatu tayari imeanza kupambana na Dom jiji tulilotumia bilions of money kulijenga, Wakenya hamna akili
Sent using Jamii Forums mobile app



Fundi kitasa game over for konza see detailed progress there konza has already reached the second phase too and it's progress now is very stable
Wakenya hawana akili.The problem with you you Make too much noise of what you don’t have, so as your leaders,
That’s not the progress of what you’ve been making noise for over 15 years,
Even without that empty plan and massive noises of tatu city and the blabla, for only 10 years that place could’ve developed probably more than that.
Mimi nilinunua Eneo mwaka majuzi Somewhere Kiluvya hapa Dar, it was bush by then, now the place has been transformed just in 3 years.
Mkiwa mnapanga kujenga satellite cities Halafu mnategemea wawekezaji basi don’t take it to the highest. Kwa mfano, The New capital that Egypt is building is what actually Come into my mind wham I heard of your tatoo and konza cities,
Kumbe Gov yenu inajenga tu vibarabara kwa pesa za mkopo na kupeleka umeme kisha inauza plots at overpriced prices expecting someone to come from China , buy a plot and build a mega stadium.
Wajinga nyie.
Siku nyingine usrudie kukejeli mchanga mwekundu wa Kenya maana hata Dodoma naona ina mchanga huo.Tony mbn unaongea vitu km mlevi mzee, Dom ni jiji jipya, yn tumeamua kulijenga sasa wewe unataka tuache kujenga majengo na infrastructures muhimu zitazobebwa na roads tujenge barabara akili ya wapi hii, by the way ring road inakuja soon pia maendeleo ya Dom mshayaona na tutakuwa tunapost humu ili mjue kwamba cc ndiyo baba hapa EA.
Sent using Jamii Forums mobile app
electrical SGR Dar-Moro (over 93% done and counting..)
Huo mchanga hautoonekana kwa asilimia kubwa, ninachowacheka mm ni kwamba mnashindwa kufanya pavement za kueleweka, inatakiwa sehemu ambayo haina lami au pavement ipandwe grasses, maudongo mekundu yanakera kwa macho.Siku nyingine usrudie kukejeli mchanga mwekundu wa Kenya maana hata Dodoma naona ina mchanga huo.