Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Nyinyi mna private city yoyote huko Lazyland?nini anapost huyu jamani ๐๐๐๐๐
Nyinyi mna private city yoyote huko Lazyland?nini anapost huyu jamani ๐๐๐๐๐
Na mbona Watanzania bado ni masikini per capita kushinda Kenya? Tumewadouble kwenye per capita income.tanzania ina matajiri mara tatu zaidi ya matajiri wa east africa nzima ๐๐๐ au na hilo unabisha au nyinyi munategemea kwenu matajiri ni wale politicians na familia ya kenyatta
Nairobi ikikaririwa na CCM ni tofauti na Nairobi kwa ground.Slum ya Nairobi tu haina barabara zenye hizi specifications, 90% ya streets za Dodoma Zina hizi specifications, wide lanes, signed, sideways, lights, cleaned, decongested
View attachment 2009935View attachment 2009936


Ngoja nikuongezee pichaMnaosema kijitonyama ni pahovyo aibu yenu hii...apa barabara ikutanuliwaView attachment 2004453View attachment 2004454View attachment 2004461
Kijitonyama? Heri Kangemi.Ngoja nikuongezee pichaView attachment 2010052View attachment 2010053
๐๐ Owky tuanze na Over ten floors buildings.. amua wewe ni mji gani tunaanzanao uko kwenu nje ya NAIROBI na mombasa..Boss, Unapost jengo moja moja kuonyesha nini? I could do that for Eldoret or Nakuru or Kisumu and would beat that Dodoma of yours by far.
Hii reli imechelewa Lakini ilikuwa na sababu za halali kuchelewa haikulipuliwa kama nchi nyingine za afrika .View attachment 2009866
This is so damn hot
nini anapost huyu jamani![]()
Bro terrorism ndio iliwapea advantageInawezekana sana, mbona wakenya tuliwazidi kwa kuvutia watalii wachache ila tuliwatoza pesa nyingi?
Ukifanya upsell kwa watalii waliopo kwa kuwafanya watumie pesa nyingi zaidi unaweza kuongeza hata mara tatu hiyo $2.6B ndani ya mwaka tuu.
Saikolojia ya mteja ni kuwa ni vigumu sana kukuamini kukupa pesa yake mara ya kwanza, lakini baada ya hapo huhitaji kutumia nguvu nyingi kumuuziua huduma/bidhaa nyingine ya gharama kubwa zaidi.
hamna kitu hata kabla ya terrorism our quality tourism products get more revenue than ur cheap inferior quality tourism! There is a clip Balala talks about that!Bro terrorism ndio iliwapea advantage
Wakenya wanaabudu sana wazungu ukimwambia mkenya "you look like a white man" anaweza asilale kwa furaha!!!![]()











Bro kwahyo unataka kujifanya umesahau kuhusu fumba town sindio au hujui kama Fumba town mji wenye luxurious mansions zaidi ya 500 unamilikiwa na mtanzania .? Owky umewahi kuskia kuhusu HAMIDU CITY mji unaojengwa na mtanzania muuza Chips.? ๐. . . Tanzanians hatuchukui maeneo Ili yaje yajengwe na watu kutoka abroad, sisi tunachukua maeneo na tunawekeza wenyewe, sasa sujui Kati yenu na sisi ni akina nani ni lazy..Nyinyi mna private city yoyote huko Lazyland?