game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,231
- 26,732
maneno ya mkenya ni kuchukua neno moja na kuondoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu huyo jamaa eti anajiita Doctor,
Alikuwa anaota ndoto nyevu mchana
maneno ya mkenya ni kuchukua neno moja na kuondoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
This empty NAROW BEE
We mefiii hio ilikua mchanganyiko wa picha. Storage facilities ni mingi sana Mombasa. Tanzania ni nchi ndogo sana kwa Kenya kwa swala la oil consumption.yani oil terminal ya singapore imehamia mombasa😂😂😂😂 ona sasa oil terminal yenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣
sikio haliwezi zidi kichwa
View attachment 2009943
Oil consumption yenu nyingi inaenda kutumika kwenye kuzalisha umeme ila Tz kuna gas powered electricity na hydro ndio zinazalisha 99% ya umeme tukisema tutumie diesel kama Ke matumizi yetu yangewaacha mbali sana ila kwetu ni faida hatujisifu kwa vitu vya kuimport kama mafuta ya kuendeshea mitambo maana ni hasara sana kwa taifaWe mefiii hio ilikua mchanganyiko wa picha. Storage facilities ni mingi sana Mombasa. Tanzania ni nchi ndogo sana kwa Kenya kwa swala la oil consumption.
View attachment 2010162
SGR snaking through the Tsavo National Park View attachment 2010175
99% hapo umedanganya mchana.Oil consumption yenu nyingi inaenda kutumika kwenye kuzalisha umeme ila Tz kuna gas powered electricity na hydro ndio zinazalisha 99% ya umeme tukisema tutumie diesel kama Ke matumizi yetu yangewaacha mbali sana ila kwetu ni faida hatujisifu kwa vitu vya kuimport kama mafuta ya kuendeshea mitambo maana ni hasara sana kwa taifa
Mashashola katika ubora wake.99% hapo umedanganya mchana.
mbona hujapost tena hii 😂😂😂😂 nimeshika kende vizuriWe mefiii hio ilikua mchanganyiko wa picha. Storage facilities ni mingi sana Mombasa. Tanzania ni nchi ndogo sana kwa Kenya kwa swala la oil consumption.
View attachment 2010162
uhehhehe hebu kataa kwanza hii sio kipevu oil terminal 😂😂😂😂We mefiii hio ilikua mchanganyiko wa picha. Storage facilities ni mingi sana Mombasa. Tanzania ni nchi ndogo sana kwa Kenya kwa swala la oil consumption.
View attachment 2010162
Umeanza udaku 😁😂Mashashola katika ubora wake.
Nakataaaa😂😂😂uhehhehe hebu kataa kwanza hii sio kipevu oil terminal 😂😂😂😂
View attachment 2010194
😂😂😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]