Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tumeanza kuwa wapole tangu 1974, tuko 2021 lakini bado your capital City is 99% dusty.
Nikifikiria haya mambo huwa natokwa na machozi😭😭😭
Screenshot_20211112-204844~2.png
Screenshot_20211112-211206.png
 
Bwawa

2996834_IMG_20210707_113512_5.jpg

Januari alisema bungeni eti Tanzania nzima haina winchi ya kuinua milango ya mizito ya bwawa (tani 26) wakati winchi hizo mbili zenye uwezo wa kubeba mzigo huo zipo.

Kwa hisani ya MKONGORO

Huyo jamaa anaitwa january sijuagi anafanyaga nini, kwa ufupi sijawahi kumwelewa.
Hakika tunahitaji katiba mpya. Hawa viongozi dizaini ya januari hawafai kabisa
 
From 1974 to 2021 is 47yrs. So itabidi mngoje another 47yeatrs ndiyo another 2% ya lami ikatengenezwe.
kama ulikuwa unangojea tangia 1974-2021 hongera sana endelea kungojea hiyo 47yrs uisemayo na tutakupa tunu na tutakuweka nje ya mlango wa makumbusho,maana ulichokuwa unangojea umekuwa ukikingojea peke yako kwa mda mrefu since 1974,
 
Jamaa muongo wewe kwahiyo kawe na mbezi ni mtaa mmoja sio .? 😂😂😂 Kwahiyo moroko ipo kandokando ya morogoro road, 😂😂😂.. by the way yapo maneo mengi mno yaliyoendelea hapa DSM na yamechangamka mno .. sina time ya kuyataja hapa Ila ukitaka ntakutajia
Hapo Ila hayafikii ya Nairobi. Labda ishindane na Mombasa.
 
ALWAYS EMPTY TALK. hOW CAN YOU RULE A COUNTRY THAT IS AHEAD OF YOU INFRASTRUCTURALLY?

2852737_IMG_20210712_220639.jpg
Hahahahaha😂😂

Kwahio kenya amepitwa na swaziland ?

Hivi Ndio viroja mahakamani vya mzee odhorong’ong’o na masakuu

Dunia nzima inajua infrastructures projects za Tanzania are massive
Roads, bridges ,airports, rail, brt , hydropower dams, ships etc
 
Nairobi/Kenya GDP
(13.35/98.85)× 100 = 13.35%
So Nairobi contributes 13.35% of Kenyan GDP.

TUAMBIENI ZILE 86% zinatoka wapi!?
ile chai inakuzwa kericho na limuru, ile flowers na horticulture inakuzwa naivasha, vile viwanda viliomo thika na mombasani, wale watalii wanao zuru masaimara kila leo nayo!, wale watalii wanao zuru mle pwani, ile mafuta ina okwa mle pwani.. ile mafuta tunayo zoa turkana, madini zipatikanazo kwale (titanium na other rare earth).. nabadoo..
 
Back
Top Bottom