dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,151
$10 B ni pesa ndefu sana bwana mapesa . Msingekua mnakopa hovyo kiasi hicho . Kwa budget ya kunyaland ni shilingi ngapi vile? Kama Nakuru inatoa kiasi hicho je Nairobi na mombasa? Cooked data as usualNakuru inachangia $10b kila mwaka. So we can confidently say that Nakuru is far much ahead of mwanza.