Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo nakupiga mpaka unajiharishia
View attachment 2008267
Sasa hiyo unaamini ila hii hutaki?
for-the-first-time-the-relative-economic-size-of-kenyas-counties-is-clear-graph-01.png

Si munaona mlivyowabishi na wajinga?
 
Kujadiliana na mjinga ni kazi kweli! Unajua maana ya real GDP kweli wewe kilaza? And when did Tanzania rebase her economy hadi ikafika $97b? Aren't you people ashamed that kila mnachoongea mnatoa tu akilini and can't be verified?
Tatizo hamna akili ndio maana unajibu tofauti kabisa, nakuambia reality ya GDP ya Tz kama tuta rebase na kuweka kila kitu wazi tutagonga $97b au $100b tatizo Tz ilikuwa inaficha sn data kwa ajili ya kuchukua pesa za bure, ila kwa sasa tushakuwa middle income lazima mambo yawe hadharani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee nimekwambia kwanini unaleta %!?
We are not stupid kama wakenya. I told you to give us GDP ya Kenya unaruka ruka tu. WHY!?
Bongolala, we were discussing GDP ya Nairobi, not Kenya. Secondly, nilikuuliza 21% ya $100b ni ngapi ukakuja na povu as usual. Mbona nyie vilaza saa zote?
 
Burundi ni koloni la Tanzania, na inatumia ndege ya rais wa Tanzania, yn kwa kifupi hapa Afrika kuna nchi chache zinazotawala nchi zingine, mojawapo ni Tz, tunataka ifikapo 2050 tunaitawala Kenya mana tushaanza kuwauzia chakula cha bei nafuu, baadaye tunawapa bure, zen full colonization View attachment 2008222

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawapendi kuishi kwenye uhalisia ndio maana ni moja ya mataifa yanapokea chakula cha misaada karne hii.
 
Tatizo hamna akili ndio maana unajibu tofauti kabisa, nakuambia reality ya GDP ya Tz kama tuta rebase na kuweka kila kitu wazi tutagonga $97b au $100b tatizo Tz ilikuwa inaficha sn data kwa ajili ya kuchukua pesa za bure, ila kwa sasa tushakuwa middle income lazima mambo yawe hadharani.

Sent using Jamii Forums mobile app
'Tuta', 'ita'. Okay bongolala, go ahead and rebase ifike hata 150b. Am sure hata hii rebasing you keep mentioning here hujui hata ni nini and what it entails. Wewe unajua tu nchi ikirebase uchumi wake there's a potential of growth
 
Sisi tunaleta facts wewe unaleta porojo
Screenshot_20211112-211206.png

Zaidi ya watu 17,266,000
 
'Tuta', 'ita'. Okay bongolala, go ahead and rebase ifike hata 150b. Am sure hata hii rebasing you keep mentioning here hujui hata ni nini and what it entails. Wewe unajua tu nchi ikirebase uchumi wake there's a potential of growth
Hivi wewe kima unadhani mm ni size yako au sio? Tuweke vyeti humu ili tuone mm na wewe nani ngumbaru? Kujua broken co ndio kusoma, huniwezi kwa chochote kiupeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wewe kima unadhani mm ni size yako au sio? Tuweke vyeti humu ili tuone mm na wewe nani ngumbaru? Kujua broken co ndio kusoma, huniwezi kwa chochote kiupeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hukumbuki mwaka jana aliandika humu kuwa ame-edit Google map kuondoa slums Nairobi akasema itabadilika baada ya mwaka lakini sasa hivi inakaribia mwaka wa pili hakuna kilichobadilika.

Sijui huwa wanadhani humu wanabishana na watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri kama wao!
 
Tena huyu Nicxie ndio fukara kweli kweli humu, kwanza ni mlinzi, kalienda kujifunza broken lkn vyeti hakana kameishia kulinda hakawezi hata kuwa ka mwalimu ka chekechea, ni kajinga kanakodhani kanaweza kuheshimika kwa kujua broken.

Kaliweka picha humu mwaka jana au mwaka juzi kaki claim ni nyumba yake

Nakumbuka alivyojipost picha yake humu.
 
Back
Top Bottom