Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Do we really need to say more?

150840217_787374141870981_8133357514487229859_n.jpg
 
Hakuna uongo hapo, leta image citation nifunge account. Any one can use pictures on the internet multiple times.
Na bado unabisha.? We jamaa mbona ni mkaidi sana .? 😂😂😂.. unajidanganya hivyo ili iweje sasa, Mombasa iwe juu ya Mwanza au .?
 
Kwahiyo unaamini report kuliko uhalisia on ground, so Kenya iko juu ya North Korea because reports rank Kenya above N. Korea? Kwann hamna akili nyinyi mbwa? Kwahiyo leo hii ikitoka report kwamba Kenya iko vizuri kwa food security kuliko Tz utaamini licha ya njaa mliyonayo? Hamna akili wakunya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo uhalisia on the ground inakuwa captured in published reports. You can't use Cherry picked pictures to claim one country is ahead of another without backing up your claims with factual information from bodies mandated to do that. Sasa wewe hapo mwananyamala unataka nikuamini kuliko shirika kama WB ama IMF?

And which report are you even talking about that ranks Kenya ahead of North Korea? Ukiishiwa hoja heri tu unyamaze
 
Inequality ni inequality iwe afrika, ulaya ama kwa shetani. Mbona ubongo-umelala wewe mdanganyika mbongolala?
I wonder how these morons reason. Mwingine hapa anataka nimwamini maneno yake kuliko ripoti ya WB
 
.k

Mkuu,mm huyu mama nilimkataa wiki moja tu baada ya kuingia madarakani,lakini kuna watu 'short sighted' wakasema tumpe muda,Ila mm nilikuwa nimeona mbali tayari,hayo unayosema ni kweli,yaani watu wanamkumbuka MAGUFULI,umeme unakataa Bila sababu,leo umeona J.Makamba na J.Mataeagio wakibishana hadharani kuhusu Mafuta,ukumbuke Hawa wote Magu aliwaondoa Sasa ona wanachofanya,hadi aibu!huyu mama ana mamabo ya ajabu Sana,alafu wananchi huku mtaani hawamtaki.
Mimi niliposikia tuu Tanzania haiwezi kuwa kisiwa, nikajuwa tumeliwa hapa, ila nikasema tuu kiubinadamu wacha tumpe muda. Kweli watanzania hatuna bahati, mbona nchi kama China na Singapore, walipata viongozi wenye maono na wakakaa muda mrefu na kubadilisha jamii zao, kwa nini sisi tuu?
 
Na bado unabisha.? We jamaa mbona ni mkaidi sana .? 😂😂😂.. unajidanganya hivyo ili iweje sasa, Mombasa iwe juu ya Mwanza au .?
Google Mombasa EPZ Apparel. Unadhani EPZ iko Nairobi pekee, wacha sasa SEZ zikamilike mutalia sana.
 
Mwanza unalinganisha na Mombasa eti? told you, it is your sentimental attachment to your country ndio ina blind objectivity, inaitwa blind patriotism., Dar and Mombasa are not even far apart, difference ni few infrastructures tu.., but Mwanza? la hasha linganisha na akina Arusha, Eldoret etc.,
😂😂 We jamaa una Matatizo sana, ni kichaa wewe, na bado hutaki kukubaliana na ukweli tu.? Hakuna cha ajabu Mombasa tofauti na ile bandari otherwise it's nothing compared to Mwanza.. unajua kama Mwanza inachangia Pato la taifa US dollars 4.7B Kila mwaka.? Mwanza kuna shughuli kubwa tofauti tofauti za kiuchumi zinaendelea
 
Wazee wa GDP tuende kwa pamoja.
GDP ya Nairobi ni $13.35B
View attachment 2008192
Wewe nakupatia homework nimekuwekea GDP ya Nairobi. Unaweza ukaleta yako!?
Plz.

Vipi umekimbilia wapi Mzee wa GDP.
Unajua $13.35B
Nairobi kama Nairobi
I knew you got nothing stupid bongolala. Thanks for Wikipedia.

This is what the WB says
for-the-first-time-the-relative-economic-size-of-kenyas-counties-is-clear-graph-01.png

Now you can go ahead and hug a transformer
 
Kwahiyo unaamini report kuliko uhalisia on ground, so Kenya iko juu ya North Korea because reports rank Kenya above N. Korea? Kwann hamna akili nyinyi mbwa? Kwahiyo leo hii ikitoka report kwamba Kenya iko vizuri kwa food security kuliko Tz utaamini licha ya njaa mliyonayo? Hamna akili wakunya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Reports hazindanganyi ju zimefanyiwa utafiti na wataalamu. Si muliogopa kuleta bei za maziwa, unga na sukari baada ya reports kuonyesha bei zenu zipo juu.
 
😂😂 We jamaa una Matatizo sana, ni kichaa wewe, na bado hutaki kukubaliana na ukweli tu.? Hakuna cha ajabu Mombasa tofauti na ile bandari otherwise it's nothing compared to Mwanza.. unajua kama Mwanza inachangia Pato la taifa US dollars 4.7B Kila mwaka.? Mwanza kuna shughuli kubwa tofauti tofauti za kiuchumi zinaendelea
Nakuru inachangia $10b kila mwaka. So we can confidently say that Nakuru is far much ahead of mwanza.
 
Nakuru inachangia $10b kila mwaka. So we can confidently say that Nakuru is far much ahead of mwanza.
Cha ajabu ni kwamba he can't even prove his claims. Yani unawezapata hiyo figure katoa tu kichwani just to help him lick his wound
 
I knew you got nothing stupid bongolala. Thanks for Wikipedia.

This is what the WB says
View attachment 2008194

Now you can go ahead and hug a transformer
Mzee akili zako hazikutoshi. Kende zako leo mpaka zipate moto.
Check X axis inaongelea nini mwanangu
Hapo umeweka percentage.
😂😂😂 Usilazimishe mwanangu
Screenshot_20211112-195108.png
 
Back
Top Bottom