Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tena huyu Nicxie ndio fukara kweli kweli humu, kwanza ni mlinzi, kalienda kujifunza broken lkn vyeti hakana kameishia kulinda hakawezi hata kuwa ka mwalimu ka chekechea, ni kajinga kanakodhani kanaweza kuheshimika kwa kujua broken.

Kaliweka picha humu mwaka jana au mwaka juzi kaki claim ni nyumba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe lofa acha kusumbuka na maisha ya usiowajua. Haitakusaidia utoke maisha ya uswazi hapo Dar
 
Dodoma city is coming up nicely
20211112_222609.jpg
 
Mombasa = Dar.., wacha kujichocha 😂 😂 😂 😂 .,
R
Blind patriotism on display hapa., eti roads, sawa dogo😂😂, Mwanza, Arusha, Dodoma not cities.., hapa Kenya tunajaribu kuwaonyesha sio Nairobi pekee, in Tz nje ya Dar mnaishiwa pumzi kabisa, no meaningful development, vipicha ni town centres kwanza angles za kupotosha, ili mjikweze, mchezo wenu ni Dar ambayo kimandeleo ni sehemu ndogo sana pia, tumeichambua kikamilifu, mtapiga picha angles tofauti tu same area or locality., Hapa mgeni kutoka nje ya Tz na Kenya atakuambia wazi wazi which is the most developed city in EAC after visiting both., wewe ni uzalendo unaongea hapa, sentimental attachment to your country clouding objectivity. Ingekua ni ukweli mngedhibitisha kikamilifi sio domo domo. Kenya is above Tz by far hiyo ni jambo gumu kwa Mtanzania kukubali, either ni wivu ama umasikini jeuri tu😂😂😂., So inafika sasa mnajaribu kutumia mapungufu ya Kenya ili kujiliwaza or muonekane eti mko better, bado. You are growing yes, liko wazi and it is most parts of Africa, not Tz or Kenya pekee kama unafuatiliwa kwingine utaona, ila u are not yet there., jikubalini tu, sio dhambi.
😄😂😂 waingereza waliwapendelea baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia na kwa kupenda kila kitu wakampora mjerumani Tanganyika halafu haawakuendeleza , baadala yake waliendeleza Nairobi hio ni historia fupi.

Off course mpaka sasahivi bado mwingereza anamtawala kenya kwa kushirikiana na Mchina

Sasa Tanzania inajijenga yenye bila wakoloni kwa maendeleo ya kiwango cha juu .
Tumeshawapita wakenya katika infrastructures na tunaendelea kuwazidi.
 
Mji una ma slums na mauchafu kila angle, wanapambana kupiga vipicha vya upande upande kuongopea dunia, utawasikia the most developed city in East and Central Africa alafu wanaweka na kapicha ka upande upande walikokapiga make up wanapost, zen foreigners wakiona wanadhani kweli, but wakifika wanaibiwa mpk kalamu

Ss foreigners wanajiuliza km the most developed city of EA ni hii je hizo zingine itakuwaje, lkn now wameujua ukweli, tunasubiri electrical SGR ianze ku operate tufunge hii battle

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom