Porojo tena kwa mpigo😂😂😂, in the world of economics, globally, iwe marekani ama Asia or Africa, inasemekana less than 10% control the means of production of any economy, so in Tanzania mahali mnajidai eti inclusive economy( of which ni kwa makaratasi tu), mbona nyie ni mifukara hivyo? Tazama standards average of living in Dar! Mko hovyo zaidi ya Kenya ndio maana omba omba wanambia huku, hamuna za kuwapea, mikono mitupu haulambwi😂😂, tazama makazi ya kawaida pale Dar!., yaani ni nyumba za ovyo kila kona, a display of poverty. Black South Africans are far bette, majority live well on average than Mtanzania, huwezi kunidanganya wewe, just because Kuna slums na issues kadhaa, wale fukara SA ni wachache ukilinganisha na mifukara wa Tanzania, wacha kutubeba ujinga, black south Africans on average are far better than Tanzanians.., hii porojo peleka vijiweni wacha ujinga wewe.., eti Mtanzania mweusi anashinda a black south African, idiot, go to SA or get the statistics, hapa sio vijiweni ama platform ya CCM ya kueneza porojo, tunaumbua ujinga wenu hapa., mko hovyo sana!