Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
Still far better than your dream houses..., Ama unapinga?..,Are you talking about this!?
View attachment 2003812
Still far better than your dream houses..., Ama unapinga?..,Are you talking about this!?
View attachment 2003812
Kuelimisha Mtanzania si unajua ni kazi ngumu sana, ni lazima mtu atumie vipicha, video clips na maneno mengi, ila bado Mtanzania atapinga tu, lakini hatufi moyo, mtanyooka tu😂😂😂., ni Kujitia hamnazo ndio mnapenda.,Umeandika essay ndefu.
Mama Ngina kawaambia mnaishi maisha mazuri.Still far better than your dream houses..., Ama unapinga?..,
What is the level of education you have, ufikie kuelimisha educated and modern people!?Kuelimisha Mtanzania si unajua ni kazi ngumu sana, ni lazima mtu atumie vipicha, video clips na maneno mengi, ila bado Mtanzania atapinga tu, lakini hatufi moyo, mtanyooka tu😂😂😂., ni Kujitia hamnazo ndio mnapenda.,
Hii picha ni a certain slum ya SA.., I know it., So hiyo slum vs makazi ya Eastlands gani iko kwa wingi? Ata New York iko na slums., so what? Eastlands is far bigger and better than makazi ya kawaida ya Dar Kabul slum.., ama unapinga?.., even kwa makazi zenu Kuna areas worse, kule sielekei., najua mnaumia kuona such residentials in Nairobi, sio vile mlidhania, unatafuta pa kuponda tu kisa hamuna ya kujibu Eastlands from Dar, TKO!😂😂😂😂😂Eastlands, jamani,
Machozi yananitoka.
Kweli mama Ngina amekula akili zenu zote
View attachment 2003813
Hawa mibongo huumia sana kuona mitaa za Eastlands and nairobi in general zilivyopangwa. Kisha wanacompae na mitaa zao za uswazi ambazo midreamhouses zimejengwa kiholela kila mahali na wanajidharau sana. Huyu kilaza naye ataacha hii tabia ya kuchora maps kwa picha lini?Wewe ni kilaza kweli, showing left right and centre, camera was panning mdogo mdogo, unaeza ukaona sehemu is repeated but buildings on its left or right now zingine not on previous clip, Eastlands area haina mpinzani in Africa kwasababu pale ndani Kuna two estates categorized as one of the biggest estates in Africa, so jumuisha na zote,.., na bado sijaweka yote, hapa no camera rotation.., ingia YouTube, type Eastlands Nairobi watch the clip pole pole usiwe na haraka.., mbona tuandike kwa mate na wino upo?.., be my guest, Mimi sio mwehu kama wewe na wenzako, kujikweza kweza tu na mko below, hadi raha😂😂😂
Unajua shauri moyo estate vizuri ama umeokota a cherry picked picture ukaweka humu? Naweza nikakuletea picha ya Oystabay Dar kasehemu with rough roads., nikasema hapo ni oyster bay, will answer you later on Shauri Moyo yoote sio kajisehemu, ujionee mwenyewe, when am settled, this time round lazima ukweli uwekwe wazi wazi., am going somewhere kwa sasa.Mama Ngina kawaambia mnaishi maisha mazuri.
But serious maisha yenu kama Nguruwe
View attachment 2003817
Jamani mimi yangu macho.Hii picha ni a certain slum ya SA.., I know it., So hiyo slum vs makazi ya Eastlands gani iko kwa wingi? Ata New York iko na slums., so what? Eastlands is far bigger and better than makazi ya kawaida ya Dar Kabul slum.., ama unapinga?.., even kwa makazi zenu Kuna areas worse, kule sielekei., najua mnaumia kuona such residentials in Nairobi, sio vile mlidhania, unatafuta pa kuponda tu kisa hamuna ya kujibu Eastlands from Dar, TKO!😂😂😂😂😂
I asked you a very ample question. Niletee list ya richest people in Kenya uniambie wazungu ni wangapi? Mbona unaweweseka?Unakataa wazungu kumiliki viwanda, mashamba, ranches, na makampuni mengi hapo Kenya?
Kwani nani kakukataza kuleta oyserbay mzeeUnajua shauri moyo estate vizuri ama umeokota a cherry picked picture ukaweka humu? Naweza nikakuletea picha ya Oystabay Dar kasehemu with rough roads., nikasema hapo ni oyster bay, will answer you later on Shauri Moyo yoote sio kajisehemu, ujionee mwenyewe, when am settled, this time round lazima ukweli uwekwe wazi wazi., am going somewhere kwa sasa.
Issue wametoa tender ..wataichukua sasaNashauri hawa wakorea waliojenga hili Daraja na strabag wapewe kazi nyingine ikiwezekana phase 3 BRT Maana wanaenda kwa muda Kwenye kazi zao
View attachment 2002948
Note: "...to receive cash".., ingekua ni Tz je? Mngehama nchi muende Malawi😂😂 Nyie hamujiwezi kamwe, infact nature is taking care of you, not yourselves, la sivyo mngekua mbali, ndio maana mko na utapia mlo kwa wingi! mnakula kile ardhi inawapea, hamuwezi kuongeza zaidi, yaani ufukura wa kiaina, shukuru maulana kwa ardhi ya rotuba, mnaishi kama wanyama pori tu😂😂, Kenya forever!🔥💪@Don YF
Tony254
Educated modern people 😂😂😂😂😂, kwaheri for now.., heheheheWhat is the level of education you have, ufikie kuelimisha educated and modern people!?
We need action. You are writing too much words.Note: "...to receive cash".., ingekua ni Tz je? Mngehama nchi muende Malawi😂😂 Nyie hamujiwezi kamwe, infact nature is taking care of you, not yourselves, la sivyo mngekua mbali, ndio maana mko na utapia mlo kwa wingi! mnakula kile ardhi inawapea, hamuwezi kuongeza zaidi, yaani ufukura wa kiaina, shukuru maulana kwa ardhi ya rotuba, mnaishi kama wanyama pori tu😂😂, Kenya forever!🔥💪
1983😂😂😂😂., sawa pia Mimi naona Eatlands, duh, nashangaa😂😂
Nenda kajipange mwanangu. UsikurupukeEducated modern people 😂😂😂😂😂, kwaheri for now.., hehehehe
Ndio sababu UN imesema Tanzania inaongoza Subsahara Africa katika uchumi shirikishi, "Economic inclusivity", samahani japo inauma Sana lakini sio Mimi niliyesema ila ni UNPorojo tena kwa mpigo, in the world of economics, globally, iwe marekani ama Asia or Africa, inasemekana less than 10% control the means of production of any economy, so in Tanzania mahali mnajidai eti inclusive economy( of which ni kwa makaratasi tu), mbona nyie ni mifukara hivyo? Tazama standards average of living in Dar! Mko hovyo zaidi ya Kenya ndio maana omba omba wanakimbia huku, hamuna za kuwapea, mikono mitupu haulambwi
, tazama makazi ya kawaida pale Dar!., yaani ni nyumba za ovyo kila kona, a display of poverty. Black South Africans are far better, majority live well on average than Mtanzania wa kawaida, huwezi kunidanganya wewe, just because Kuna slums na issues kadhaa, wale fukara SA ni wachache ukilinganisha na mifukara wa Tanzania, wacha kutubeba ujinga, black south Africans on average are far better than Tanzanians.., hii porojo peleka vijiweni wacha ujinga wewe.., eti Mtanzania mweusi anashinda a black south African, idiot, go to SA or get the statistics, hapa sio vijiweni ama platform ya CCM ya kueneza porojo, tunaumbua ujinga wenu hapa., mko hovyo sana!


. Bongolala, zoea maisha yenu ya uswazi na dreamhouses. Haya ya Nairobi huwezi nayo. LanesHujawai acha kujipiga kifua , ikiwa ni ujinga imejaa kichwani mwako, ni mara ngapi visani vyenu vinalia aviruhusiwi kupanga kweny quality apartment( kaligraphi), means fukara kama nyie kwenu ni kibera na mathare na mko apa kujifanya mnaishi vyema jinga kabisa nyie
Weka bei, tunawajua kwa kupiga mdomo lakini kwa ground vitu ni tofauti.Kwahiyo cc tunaowauzia chakula kwetu tuuze bei kubwa alafu chakula hicho hicho kwenu kiuzwe bei ya chini, wakenya hamna akili
Sent using Jamii Forums mobile app