Hahahaha wewe jinga Sana, 90% ya matunda yanayouzwa katika masoko yetu ni fresh, hayapitia popote, yaani yametoka shambani Moja kwa Moja, 80% ya Nyama na kuku wamechinjwa siku hiyo hiyo bado damu inachuruzika. Samaki wengi wametoka baharini siku hiyo hiyo bado wanachezesha mikia hawajafa.
Sifa kubwa ya malls ni kuuza packed, canned and preserved food wakati sokoni sifa kubwa ni kuuza fresh food
Masoko zaidi ya 98% ya bidhaa zinazouzwa ni kutoka kwa wakulima wa ndani, masoko yanasaidia Sana kuongeza kipato cha wananchi wa chini hasa wakulima, wakati 70% ya bidhaa za malls ni "imported", 28% ni locally manufactured goods ambazo hazimgusi mkulima Moja kwa Moja, only 2% ndio bidhaa toka kwa wakulima.
Nairobi Kuna malls nyingi kutokana na Historia ya kwamba, Nairobi ndio ilikua HQ ya wazungu/waingereza walipokua wakitawala EA, baada ya kupata uhuru, wazungu wengi waliendelea kubaki na kumiliki Mali Kenya, kufunguliwa kwa ofisi nyingi za UN hapo Nairobi kuliendeleza mahitaji ya Malls, hizo malls ni kwa ajili ya wageni zaidi sio Kibera dweller like you,[emoji23][emoji23]