Unadandia kila kitu ili upate nafuu lakini wapi 😂😂😂, yani wewe ni fala sana, kwani huwa mnatuchukuliaje.? Chakula tuzalishe sisi alafu eti kiwe bei rahisi kwenu (wanunuzi) kuliko kwetu (wazalishaji) 😂😂😂, bei ya aina yoyote ile ya chakula hapa tz ni kutokana na upatikanaji wabidhaa fulani katika hilo eneo, maziwa for example niliona Jana mnabishana eti ni sh ngapi kwa 1liter but infact maziwa kwa mfano tanga ni 700 t sh per 1liter .. tukirud kwenye unga wa ugali alkadhalika huku tz wanaonunua unga huo kwa kilo ni watu wanaoishi maeneo ya mjini tu, but normal tanzanians wa vijijini huko wao wananunua mahindi then wanasaga debe zima, alafu kundi hili ndio huwa na store kubwa sana ya chakula since hawa hawanunui kila siku, na ndio kundi la watanzania waliowengi (ndio wanaitwa watanzania maskini/wanyonge) ambao hawa ni tofauti na wakenya wa kawaida, na ndio maana hizo data za kusema kwamba sisi tuna njaa tunazikataa kwasababu sisi tunayajua maisha yetu .. maisha yetu sisi ndio tunayajua bro, njoo uone kwa macho yako achana na hizo data za uongo, akili yako ipanue hiyo sio kusoma tu vilivyoandikwa na mzungu ukaridhika