Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtanzania ni mijiga tu. Their economy is still in diapers na huku wamejaza kelele. An informal economy where people still buy goods in small quantities in roadside kiosks. Halafu wanashangaa mbona nairobi kuna malls everywhere
Utamaduni wa Tanzania ni masoko sio malls, masoko mijini na magulio vijijini, sisi Mambo ya malls hatuthamini Sana kwasababu mara nyingi hakuna fresh food na products nyingi ni imported, malls zinalenga zaidi high and middle classes while markets ni kwa ajili ya lower and middle classes ambao ndio makundi makubwa makubwa hapa Africa
 
Tunaangalia uhakika wa mambo sio information uchwara.., kama kusema eti 2.5 million people wanaishi Kibera slums hiyo itakua 50% ya population ya nairobi yote in Kibera, which is in southern part of Nairobi(Southlands) , such organizations don't do ground work they pick data from internet to augment their report, even unverified data wanatumia tu .., .., mimi nakupea facts sio porojo.., mambo kwa ground..., ukweli utabaki, Eastlands is far bigger than Dar CBD yooote! huu ukweli najua utakuuma sana, haupendi kuuskia!
Yaweza kua bigger but cheap af...majengo mawili tu ya dar cbd yanaweza kua ya ghali kulikoni vibanda 500 vya iyo estate....sasa fikiria office blocks 10 tu inamalizana na estate nzima
 
Siyo tu kuaminika bali hata akili ya kutetea maslai ya taifa kwenye miradi mikubwa kama hiyo ana.hapo upo uwezekano mkubwa tukaambulia manyoya, vitu kama hivyo alitakiwa raisi kama JPM
Exactly, huo Mradi wataupeleka Haraka sana Yani term ya pili ya Mama utakua umeshaanza.
 
Yaweza kua bigger but cheap af...majengo mawili tu ya dar cbd yanaweza kua ya ghali kulikoni vibanda 500 vya iyo estate....sasa fikiria office blocks 10 tu inamalizana na estate nzima
uko na akili nyengine ama ni hiyo tu unayotumia??
 
$30b Investment coming


May be I am the weird one on this but I find it inappropriate for the minister to post something like this on tweeter. On my side i see it like some kind of stupid teenager sharing a selfie of her with her new boyfriend. Leave it to a government spokesperson, huu ni ulimbukeni wa siasa nini kazi ya msemaji wa serikali
 
Yaweza kua bigger but cheap af...majengo mawili tu ya dar cbd yanaweza kua ya ghali kulikoni vibanda 500 vya iyo estate....sasa fikiria office blocks 10 tu inamalizana na estate nzima
Eastlands sio estaste, ni mikusanyiko ya estates tofauti tofauti, alafu hiyo kauli yako is not true, kwa mtazamo wako, what do you think is the value of these 👇 👇 👇 organized estates still in Eastlands? unadhani nyumba moja ni pesa ngapi hivi? eastlands iko na estates mingi sana, hii reasoning yako ni pedestrian.., tusidanganyane kaka, ikisemekana Nairobi iko na GDP ya $50B plus kwa sasa sio utani, facts are screaming, it is too obvious..,
1636381493064.png

1636381117333.png

1636381136662.png

1636381146385.png

1636381348910.png

1636381386249.png
 
Eastlands sio estaste, ni mikusanyiko ya estates tofauti tofauti, alafu hiyo kauli yako is not true, kwa mtazamo wako, what do you think is the value of these organized estates still in Eastlands? unadhani nyumba moja ni pesa ngapi hivi? eastlands iko na estates mingi sana, hii reasononing yakop ni pedestrian.., tusidanganyane kaka, ikisemekana Nairobi iko na GDP ya $50B plus kwa sasa sio utani, facts are screaming, it is too obvious..,
View attachment 2003233
View attachment 2003225
View attachment 2003226
View attachment 2003227
View attachment 2003230
View attachment 2003231
Majengo mawili ya BOT tu kipindi icho yanafunguliwa ilikua ni tsh 200 billions mwaka 2005 uko I'm sure izo pesa wanajenga ivyo vibanda 2000 na Chennai inabaki
 
Nmekueleza ukweli...mbna sijawahi ongea vibaya juu ya posh area zenu kama Karen,muthaiga,west,gigiri,maeneo nyeti kama upperhill,old cbd nk
Your opinion of which you are entitled, lakini ukweli unabaki Eastlands ni kubwa sana zaidi ya Nairobi old CBD na Dar CBD yoote, my point.
 
Biggest mtaa wa cheap apartments
Some truth though.., have never seen an apartment in Eastlands with a lift by the way! In kilimani na mtaa kadhaa southlands kama kilimani, Lavington, Ngong road areas etc, apartments kadhaa have lifts and gym kwa basement, pia Kiambu I visited some friends kuna several apartmants za adabu sana kule, za lifts with underground designated parking, but Eastlando in some sections gari zina park nje ya building kama street za city centre..,
 
Back
Top Bottom