joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Wivu na uchungu kuona Tanzania pengo Kati ya masikini na tajiri ni dogo Sana, kwao wanaminywa mapupu na wanasiasa na wazungu,Umeandika essay ndefu.
Wivu na uchungu kuona Tanzania pengo Kati ya masikini na tajiri ni dogo Sana, kwao wanaminywa mapupu na wanasiasa na wazungu,Umeandika essay ndefu.
Tanzania leads Africa in Economic inclusivity and food security, YES or NO?Kuelimisha Mtanzania si unajua ni kazi ngumu sana, ni lazima mtu atumie vipicha, video clips na maneno mengi, ila bado Mtanzania atapinga tu, lakini hatufi moyo, mtanyooka tu., ni Kujitia hamnazo ndio mnapenda.,
Ninyi kila mkiahikwa pumbu lazima mkimbilie NY au US, kwahiyo huko NY wameruhusu ndoa za jinsia Moja, mbona ninyi hapo hamtaki?, Jifunzeni kusimama kwa miguu yenu sio kila kitu lazima muombe msaada USA, are you slaves?"Hii picha ni a certain slum ya SA.., I know it., So hiyo slum vs makazi ya Eastlands gani iko kwa wingi? Ata New York iko na slums., so what? Eastlands is far bigger and better than makazi ya kawaida ya Dar Kabul slum.., ama unapinga?.., even kwa makazi zenu Kuna areas worse, kule sielekei., najua mnaumia kuona such residentials in Nairobi, sio vile mlidhania, unatafuta pa kuponda tu kisa hamuna ya kujibu Eastlands from Dar, TKO!![]()
Who said they are receiving food donations? Nilisema wakona shida ya njaa kama nchi zingine za Afrika.Show me where Egypt has received food donations
Siku mkiwa na beautiful views kama hizi pleas tag meBongolala, zoea maisha yenu ya uswazi na dreamhouses. Hata ya Nairobi huwezi nayo. LanesView attachment 2003831View attachment 2003832
Do you really know the meaning of inclusive economy of a country? Kama unajua maana yake basi wewe unabisha tu kwa sababu kubisha ni talent yako.Porojo tena kwa mpigo😂😂😂, in the world of economics, globally, iwe marekani ama Asia or Africa, inasemekana less than 10% control the means of production of any economy, so in Tanzania mahali mnajidai eti inclusive economy( of which ni kwa makaratasi tu), mbona nyie ni mifukara hivyo? Tazama standards average of living in Dar! Mko hovyo zaidi ya Kenya ndio maana omba omba wanakimbia huku, hamuna za kuwapea, mikono mitupu haulambwi😂😂, tazama makazi ya kawaida pale Dar!., yaani ni nyumba za ovyo kila kona, a display of poverty. Black South Africans are far better, majority live well on average than Mtanzania wa kawaida, huwezi kunidanganya wewe, just because Kuna slums na issues kadhaa, wale fukara SA ni wachache ukilinganisha na mifukara wa Tanzania, wacha kutubeba ujinga, black south Africans on average are far better than Tanzanians.., hii porojo peleka vijiweni wacha ujinga wewe.., eti Mtanzania mweusi anashinda a black south African, idiot, go to SA or get the statistics, hapa sio vijiweni ama platform ya CCM ya kueneza porojo, tunaumbua ujinga wenu hapa., mko hovyo sana!
Tunazungumzia njaa kiasi watu wanakufa hadi kuomba msaada wa chakulaWho said they are receiving food donations? Nilisema wakona shida ya njaa kama nchi zingine za Afrika.
![]()
Understanding Hunger in Egypt - The Borgen Project
Hunger in Egypt has roots in food costs; a majority of the Egyptian population can only afford minimally nutritious meals. A 2011 UN World...borgenproject.org
Kama sio shida vipi wanakufa kwa njaa?, Vipi Kenya imehelemewa na madeni?Nimeshakueleza mara nyingi kwamba Kenya pesa sio shida. Wacha wapate pesa wanunue vyakula vizuri. Sio kupewa mahindi na maharagwe kila wakati kuna ukame.


Nchi gani inaletea wakenya msaada wa chakula? Refugees wakipewa msaada Kenya mnakimbia kupiga mdomo vile Kenya inapewa msaada kutoka nje. Hata Tanzania refugees wanapewa msaada na hatupigi mdomo kama nyinyi. The European Union continues to support refugees in Tanzania through the United Nations World Food Programme (WFP) | AfricanewsNchi gani inaleta msaada wa chakula kwa Tanzania. Just mention one
Utapia mlo vs starvation to death,,Note: "...to receive cash".., ingekua ni Tz je? Mngehama nchi muende MalawiNyie hamujiwezi kamwe, infact nature is taking care of you, not yourselves, la sivyo mngekua mbali, ndio maana mko na utapia mlo kwa wingi! mnakula kile ardhi inawapea, hamuwezi kuongeza zaidi, yaani ufukura wa kiaina, shukuru maulana kwa ardhi ya rotuba, mnaishi kama wanyama pori tu
, Kenya forever!
![]()



Less than 0.1% of the population (8,300 people) own more wealth than the bottom 99.9% (more than 44 million people). The richest 10% of people in Kenya earned on average 23 times more than the poorest 10%. 80%The number of super-rich in Kenya is one of the fastest growing in the worldI asked you a very ample question. Niletee list ya richest people in Kenya uniambie wazungu ni wangapi? Mbona unaweweseka?





Umesikia wapi kwamba tumeshindwa kulipa hayo madeni?Kama sio shida vipi wanakufa kwa njaa?, Vipi Kenya imehelemewa na madeni?![]()
Tanzania wanataka machinga wazagae mpaka CBD sasa miji kama iyo usitegemee kabisaa, sasa ukijiuliza population ya machinga waliopo Lagos sizan kama Dsm inafikia lkn tazama mki wa wenzetu umepangwa safiiWewe ndio huna bundles wa kuangalia mapicha ama YouTube, you depend on what you are being told. Nigeria had her downside but I can assure she is better than Tanzania in most things. Below are pictures of Abuja, I doubt there is any city in Tanzania that can rival this.
View attachment 1917566
View attachment 1917567
View attachment 1917568
View attachment 1917569
View attachment 1917570
View attachment 1917571
View attachment 1917572
View attachment 1917573
View attachment 1917575
Sasa kwanini IMF imenyenyua bendera nyekundu kuwaonya "Creditors" wenu kwamba Kenya ni hatari kukopesheka kutokana na deni kuwa kubwa?Umesikia wapi kwamba tumeshindwa kulipa hayo madeni?
Wapi? Wewe unajua kwamba jana IMF imekubali kutukopesha zaidi? Mbona wanatukopesha kama hatukopesheki?Sasa kwanini IMF imenyenyua bendera nyekundu kuwaonya "Creditors" wenu kwamba Kenya ni hatari kukopesheka kutokana na deni kuwa kubwa?
White and Blue sky.