Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cha kushangaza jeshi lao lilikuwa ranked nambari tatu Africa kumbe ni tambara bovu tu. Officers wengi kwenye jeshi hilo walikuwa Wanatokea kabila la Tigray ila vita vilipoanza wakagura na kujiunga na TDF na kuiwacha ENDF ikiwa na inexprienced officers.
Kwani ujui TDF pia ndiyo jeshi kamili la ethiopia siyo wanamgambo kama unavyo sema
 
Asilimia 70% ya miradi imebuma kababisa hakuna anaye fuatiria mawaziri wana komba pesa za serikali bila wasiwasi wowote ,na wanasema kabisa lazima wawakomeshe watz kwa kumkubali magufuli sasa hivi hatujui kitu gani kina fanywa na mawaziri na manaibu waziri siku kwa siku ,tunamwona mnafiki waziri mkuu akijidai kufokea watu wa chini wakati mawaziri wa hizo wizara wapo awafanyi kitu chochote huyu mama ana laana furani licha ya kielelezo cha magufuli lakini hakuna anachojari,kazi ni kuamasisha chanjo feki na jinsia tu ,mm naona hata 2025 ni mbal8 sana kumwacha madarakani raisi wa ovyo namna hii
Sasa hivi dunia iko katika kipindi cha hatari sana, mabomu kama corona yameshaanza kutupwa huku na kule. Balaa ni kuwa na kiongozi asiye na dira, yaani yeye yupo yupo tuu.
 
Haya majina mawili ( Nairobery na Nairobi Walker Huko nyuma yalikua yanaheshimika sana na kule Skyscrapercity yalikuwepo, kwa kuongea points na Discussion nzuri, Siku hizi sijui Account wamemuuzia Bwana Mapesa .

Kuna Msela mwingine kule SSC anaitwa Kenguy sijui, huyu Jamaa mstaarabu sana. Kama Mkuu wetu Bantugbro hapa, watu wakali sana na wastaarabu Nondo tupu.
Namkumbuka Kenguy alikuwa mastaarbu sana yule jamaa.
 
Sasa hapo unakuwa huna tofauti na watu Wa kibera, unatumia mihemko bila ya facts …
You know that financing a multi bilioni project by loan is a very transparent process, and you can’t bring a single evidence of a creditor financing JNHEP, SGR phase 1 & 5, ATCL etc..
I hope you know there is no creditor that will finance the Government buying aircrafts,
It is very clear and known to everyone that our SGR phase two was partly financed by AfDB,
Wakati mwingine muache wivu, kama Nchi yenu haiwezi kufadhiri miradi yake basi msijifariji kwa kudhani na nchi nyingine haziwezi.
First of all, government buying aircraft for an airline us not a project worth mentioning. It's a shame.🚮🚮 The airline is supposed to sustain itself. I was talking of real projects such as SGR. Yeah, you took this loan to finance your SGR.


Interestingly, you never completed the SGR even after taking the loan. Imeishia hapo msituni.
 
C kama nyie tu mnakuwa ranked mbele ya TPDF na hamjawahi shinda hata kesi ya kuku, so now mmeanza kuelewa upuuzi wa hvyo vi rank uchwara.
Hahaha kumbe huwa inakuuma unapoona KDF iko ranked mbele ya JWTZ? Pole sana.
 
Unfortunately your buildings do collapse every after one week,,,,
Kuna nini cha kucollapse hapa?

images (97).jpeg
images (96).jpeg
 
Kila jimbo Ethiopia linajeshi lake kamili.
Hizo jeshi za majimbo sio kamili mkuu. Hazina heavy weapons. Hata TDF iliiba heavy weapons kutoka ENDF walipovamia kambi la jeshi la ENDF mwaka uliopita. Waliiba vifaa kama tanks na artillery guns. Isitoshe jeshi za majimbo hazina airforce ndio maana TDF anapigwa kama mtoto kwenye vita vya hewa maana ENDF ana drones na jets ilhali TDF haina drones wala jets. Pia hawana surface to air missiles ya kuangusha ndege hizi.
 
First of all, government buying aircraft for an airline us not a project worth mentioning. It's a shame. The airline is supposed to sustain itself. I was talking of real projects such as SGR. Yeah, you took this loan to finance your SGR.


Interestingly, you never completed the SGR even after taking the loan. Imeishia hapo msituni.
Wivu unakufanya hadi utafute link zinazo potosha ili utimize malengo yako ya wivu.

Mkopo uliochukuliwa ni wa Morogoro=Dodoma tena tukio la kutia sign lilioneshwa live.

Kingine huo mkopo ulivyo chukuliwa tulikuwa tayari tumeshaanza ujenzi wa SGR Morogoro=Dodoma...unaona tofauti ya Tanzania na failed state?
 
Wa are building
1. Julius Nyerere HEP Dam 2100MW, with our own cash, we hired Egyptians to work for us, the cost is $3b
Upon its completion in 2023 we will be generating over 5,000 MW, Kenya has 2,000mw total installed capacity

2. SGR phase 1, 97% complète
With cash money, hapa ni pesa inaongea Kaka
Plus phase 5 over 350kms ($1.5b)

3. ATCL 16 aircrafts procured on Hard Cash ($1.5b)

3. Bridges like Kihongo Busisi crossing lakeVictoria in Mwanza, 3kms. Paid bia hard cash

4. Over 3000kms of roads via hard cash

5. Massive buildings at Dodoma Government City $400m

6. Modern Hospitals, Schools etc etc etc
Meanwhile The broke gok is borrowing to repay the loans .
Without loans the broke gok can’t finance a 10kms road.
Instead of wasting your strength by writing this long untruthful story ungesema tu that Tanzania projects are financed by loans, grants, and donations.

In point one we know that your SGR phase 1 was financed by turkey.

Point 2. We also know that most money used in the Stigler dam came from grants and loans. Again the dam won't generate 5000MW as you claim. It's just 2000MW.

Point 3. You have nine aircraft and not 16.

Point 4. Which 3000km roads are you talking about? Please show us at least five roads in tz that are under construction ranging between 100km to 20k0m.

Point 5. There are no massive buildings in Domoma. What there ni short ugly buildings.

Point 6. Which schools are you talking about yet you rely on Sweden to fund your education system ànd built classrooms and USAID to built school toilets for you. Most of your hospitals are either built by world bank and imf money or AfDB.
 
First of all, government buying aircraft for an airline us not a project worth mentioning. It's a shame. The airline is supposed to sustain itself. I was talking of real projects such as SGR. Yeah, you took this loan to finance your SGR.


Interestingly, you never completed the SGR even after taking the loan. Imeishia hapo msituni.

Hahaha, we jamaa bwana, you jump here and there,
ATCL is 100% State owned and so are the aircrafts, what’s wrong with that,?
You should be worrying of your poor mismanaged dying kq..
Besides at least umetii we used out hard cash to procure the aircrafts, that was our discussion,
Halafu tumia akili, I mentioned before that tulichukua mkopo kidogo wa lot 2 SGR from Morogoro to Makutupora 400km and of course you won’t build a stretch of 700km with $1.5b
Thé SGR is still under construction why are you worried ??
And lately we have hired the Chinese for lot 5 mwanza - Isaka over 350km kwa gharama ya $1.9b pesa inalipwa na GOT,
The only railway that was built to nowhere is The Kenya’s Chinese owned substandard railway ambayo imeishia nyumbani kwa uhuru kenyatta.

The thing is Tz Government got Money, Kenya Government is broke.

Other projects being implemented kwa pesa za walipakodi ni JNHEP—-$3b Roads, Kigongo Busisi Bridge $300m, construction of vessels, airports, hospitals, Modern massive buildings in Dodoma etc,
 
Back
Top Bottom