Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mulielimika na hata hamuwezi tengeneza a simple Milk ATM. Mumejazana Kenya kununua, we like to benefit from your laziness by the way.
Oya mtoto wa mama Ngina unajua hata kirefu cha ATM!?
Hayo mambo ya ATM dunia imeshaondokana nayo Mzee. Kuna magonjwa mengi mwanangu.
You still primitive, nenda shule kasome japo kidogo IT.
 
Huwezi pata chuo kama hii imefunguliwa TZ.
Toyota walisetup shule huku and then they began assembling the Toyota Hilux. Kenya tuko chap chap hatulali kama nyinyi. Wavivu sana nyie kazi ni kucomplain.

images (27).jpeg
 
kama unashadadia tuu poa
ila we kwa akili yako vice president(raisi mtarajiwa anytym)anaeza akakaa apo?
kuna institution zipo chini ya ofisi yake utambulisho wake lazma uanzie hivyo

mf: ofisi ya raisi (tamisemi) shule ya msingi kiembesamaki asa kwa akili yako sabab pameandikwa ofisi ya raisi unashupaza shingo!!

#we na brazaK wote sawa tuu (wakukurupuka 😂😂😂
Kijana, ingekuwa vyema kama ungetuletea hiyo ofisi nyingine ya makamu wenu wa Rais inayotumika kando na hii yenye hutaki. Unasema VP wenu hawezitumia ofisi kama hiyo wakati pameandikwa vizuri sana ''ofisi ya makamu wa Rais''. Mbona mnapenda kukana mapungufu yenu?
 
Kijana, ingekuwa vyema kama ungetuletea hiyo ofisi nyingine ya makamu wenu wa Rais inayotumika kando na hii yenye hutaki. Unasema VP wenu hawezitumia ofisi kama hiyo wakati pameandikwa vizuri sana ''ofisi ya makamu wa Rais''. Mbona mnapenda kukana mapungufu yenu?
Mzee hebu usilete mambo ya kitoto hapa. How old you are!?
 
Ndio tunawapowambia mkenya wa kawaida akija tz hawezi teseka km vile mtz wa kawaida aje hku..

Mkenya wa kawaida anayamudu maisha popote pale hapa EA
Maisha tz ni mepesi kwa mtu wa nchi yoyote akija awezi teseka
 
Poor people like you discuss about food.
Modern people like Tanzania and Elon Must think about travel to other planets.

Wewe bado ni primitive you don't have exposure. Maziwa ni kitu cha kawaida sana. 🤣🤣🤣
You can't manufacture a milk ATM na unataka kuongea about space.😂😂😂 Huna hata aibu. Mambo ya space wacha zile nchi zikona space center waongee. Nyinyi ambieni China iwasaidie kujenga ofisi ya makamu wa rais.
 
That shelf is full of imports, kwanza Nestle products ni mingi na zimekua manufactured by Nestle Kenya which distributes them to East Africa and some parts of Central Africa.

Nestle has nothing to do with Kenyan products, it’s nestle business .. their business..these are global brands none of them is Kenyan.
FYI, Nido, Milo are manufactured by Nestle South Africa and Nestle Netherlands.
All the infant formula you see are manufactured by Nestle Mexico and Nestle Singapore,
You are so ignorant my friend.
Ndio maana nilishangaa unasema Kenya mna dairy industry kubwa kuliko SA inayolisha bara zima,
 
Back
Top Bottom