Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nchi ya project moja, hata wajenge nini bado panakaa ushagoo, jamaa miji yao michafu sn, no wonder the country holds various dirtiest cities [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1982342
Usidharau hii project. Hii ni the longest expressway in Africa. Hata South Africa au Egypt hawana expressway ndefu kama hii.
 
Emu utuache kidogo nyinyi wa tz munapenda kutuonea penye tunapendaga kujitahidi uoni venye tumejipanga[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 1982558
Kenya wanatumia magari ya kizamani mnoo, sasa kama hili si ni la ww1 hili!?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwanza hiyo project sio ya serikali, pili haina "direct impact"kwa uchumi wa Kenya, mwisho haisaidii mwananchi wa kawaida
Wawe nayo ya nn sasa, unadhani wao ni dampo la wajinga kama Kenya waruhusu mamiradi yasiyo na tija kwa mwananchi?
Wacheni wivu. Kwa hivyo jam kupungua Nairobi haitakuwa na impact yoyote katika uchumi wa Kenya?
 
Jam ya kuelekea Airport?? Why not kuelekea Thika road au kuelekea Kibera?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio airport pekee. Hii expressway inapitia Mombasa road ambapo kuna industrial area of Nairobi. Hapo kuna industries nyingi sana. Pia Mombasa road ina estates ambapo wakaazi wengi sana wa Nairobi wanaishi. Pia eneo hilo kuna Nairobi inland container depot ambapo malorry yanakuja kubeba containers zilizoshushwa na treni ya SGR. Hii expressway pia inapitia Nairobi CBD ambapo huwa kuna jam kali sana. Isitose hii expressway pia inapitia Westlands pia ambapo huwa kuna jam kali sana. Kwa hivyo sio jam inayoelekea airport pekee itakayopungua. Naona huielewi Nairobi vizuri.
 
Kama ingekuwa ni "free of charge" ndiyo ungeweza kuwa na uhakika kwamba gari nyingi zingetumia kila siku. Hii ni sawa na Karen au Nairobi Hospitals, only upper and few Middle class can afford
 
Back
Top Bottom