Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Sawa wacha tutaona.yani muipiku zanzibar hio musahau mpaka dunia itasmama na hili nakuhakikishia kwa asilimia 100 😂😂😂😂
Sawa wacha tutaona.yani muipiku zanzibar hio musahau mpaka dunia itasmama na hili nakuhakikishia kwa asilimia 100 😂😂😂😂
Bado ATCL inapaswa ipunguze bei hapa mwanzoni mwa biashara ili itengeneze "Customer base" kubwa na kuisambaratisha KQ kwenye hii route ndio irudi kwenye hizi Bei.Vs ATCL’s 210$
Kila kitu kina faida na hasara yake, pokea hasara katika upande huu kwa mikono miwili, stop excuses.Kenya tulikuwa tumefunga kwa sababu ya corona. Nyinyi mlikataa kufunga mipaka yenu. Sasa ni lipi la kushangaza hapa?
Hapa tunazungumzia National parks sio beachesHakuna beach iliyoshinda hii award mara nyingi kushinda Diani beach in Kwale county Kenya
Kabla ya COVID-19 Tanzania's tourism revenue ilikua mara mbili ya KenyaBeach yenyewe imefungw kwa sababu ya Covid-19. Nyinyi kwa ulafi mkali mliamua kutofunga hoteli zenu ili mpate mapato kutoka watalii kutoka Urusi na Ukraine. Sisi tukifungua hoteli na beaches zetu basi mtatoka kwenye hizo rankings na sisi tutarudi kwenye hizo rankings.


Hahahaha, mngekua na marafiki wengi Ulaya msingekimbilia China kwa kila kitu.Sisi ndio tumekuwa juu yenu miaka zote sema wakati huu watu wanafungiana mipaka so ranking yetu imeshuka. Akina UK na US wakianza kufungua mipaka yao basi ranking yetu itapanda. Kumbuka sisi tuna marafiki wengi ulaya kuwashinda nyie.
Kwenye diplomasia Kenya inawapiga mnakaa chini. Usilete ligi kwa vitu ambavyo tuliwapiga zamani. Kwanza idadi ya embassy pekee Kenya ina embassy nyingi ulaya kuwashinda. Hata likija swala la idadi ya marais wa nchi zenye nguvu unakuta Kenya imepokea marais hao wengi kuwashinda. Kwa utawala wa rais Uhuru pekee tumepokea rais au Waziri mkuu wa S. Korea, Israel, India, USA, UK, Italy, France na Japan. Usicheze na Kenya weweee. Tafuta ligi yako kijana. Nenda katafute ligi na burundi sio Kenya. Kwanza Japan alihost Africa summit hapa Nairobi in 2016. Shinzo Abbe alikuja na serikali yake karibu yote na marais wa Afrika pia walikuja Nairobi kwenye hio summit.sasa kama mulikua juu yetu mutambue hii sio ile tz ya 90s mark my words
hahha eti munamarafiki wengi 😂😂
Kwani kiwanja kuwa Chato kinakuuma nini?zipi hizo kwamba Magufuli alijipendelea kikabila/kiukoo badala ya kuujenga Geita Town? Yaani huo ndo ukweli! come rain come sun! Au evidence nilizotoa humu ndani hazitoshi?
huyu Geza Ulole ana matatizoKwani kiwanja kuwa Chato kinakuuma nini?
Beach yenyewe imefungw kwa sababu ya Covid-19. Nyinyi kwa ulafi mkali mliamua kutofunga hoteli zenu ili mpate mapato kutoka watalii kutoka Urusi na Ukraine. Sisi tukifungua hoteli na beaches zetu basi mtatoka kwenye hizo rankings na sisi tutarudi kwenye hizo rankings.
yani muipiku zanzibar hio musahau mpaka dunia itasmama na hili nakuhakikishia kwa asilimia 100 😂😂😂😂
Wazungu wenyewe ndio wanasema Diani ni beach bora Africa. Hio sio kauli yangu.Zenji ilikua imezidiwa na Diana kwa sababu mlikua mmetuzidi kwenye kubrand vivutio zaidi ya hapo hamna lolote kwa afrika hamna bichi inayoweza kutia guu mbele ya zanzibar labda ushelisheli tuu, bichi za Zenji ni nzuri mzee hata wewe unajua hilo
Hiyo Geita hapo kwa wasio jua ni ule uwanja mpya uliopo Chato ambao baadhi ya watu humu huwa wanakamatika na zile cheap politics za jukwaa la siasa.
ATCL wanaenda Geita (Chato) mara tatu kwa wiki.
ukabila baba wa Taifa alikataza!huyu Geza Ulole ana matatizo
Ni wa kupuuzwa tu.Mm mwanzo nilidhani ule uwanja hautumiki,kumbe ndege zinatua pale,ila jamaa mmoja humu anapiga kelele Sana,aise!