Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi nilitegemea mtushinde angalau kwenye kandanda maana huwa tumelegea sana upande huo. Au basi hata mngetushinda kwenye rugby maana rugby huwa inataka mijitu yenye miraba minne iliyokula na kujishibia na kuvimbiwa. Nyinyi huwa mnajidai mna chakula kwa wingi na sisi tunakufa njaa. Sasa iweje watu kama sisi tunaokufa njaa ndio angalau tunajaribu kucheza rugby ila nyie mijitu yenye miraba minne mliokula na kujishibia bado mnashindwa kucheza mchezo huu? Mnakula sana ili iweje? Itakuwa mnakula na kukunya tu bila kutumia nguvu hio kwenye mambo ya maana.
Tazama wazee wa kazi waliposhinda Singapore 7s mwaka wa 2016 kwa kushinda kila mtu uwanjani.

View attachment 1982069

View attachment 1982070

Kazi yenu ni kukula na kukunya tu, nguvu hio mnaipeleka wapi?
View attachment 1982071
Sie hatuna chakula ila angalau tunajaribu kuiwakilisha Afrika kwenye michezo za watu walioshiba
A90E0580_-_Oscar_Ayodi.jpg

Endeleeni kujipiga vifua kwamba mna chakula ya kutosha na kwamba mnailisha Africa ila tunawapiga kwenye michezo zote.
Shida ni kwamba cc tulikuwa bize na ukombozi lkn pia viongozi waliopita hasa kwenye upande wa michezo walikuwa wamelala usingizi wa pono, Magu alikuja akaamsha kila kitu na ndiyo haya matunda mnayoona kwenye kila idara, wageni wanapokuja wanashangaa sn kuiona Tz ni nchi yenye kila kitu tofauti na walivyoambiwa kuhusu East Africa, juzi ofisini alikuja mmalawi anasema alikuja kwa ajili ya matibabu nikamuuliza unaonaje Tz akasema Tz ni nchi nzuri sana, nikamuuliza vipi kuhusu matibabu ukilinganisha na kwenu, akacheka akasema hakuna nchi ya kulinganisha na Tz kwa hapa EA kwenye suala la matibabu, c unaona mkono wng ulikuwa ushakufa ila hapa nimekaa mwezi tu niko vzr na kesho narudi nyumbani.

Wakenya nawakumbusha pia kwamba tunakwenda kuwa miongoni mwa nchi chache za Afrika kuwa na tiba bora zenye viwango mana wageni ni wengi sana wanaokuja kutibiwa hapa Tz kwa ss, yn hii nchi kwa ss imeamka kila idara, so mchukieni Magu cku zote mana kaja kuwaharibia kila sehemu
 
kutocheza sio sababu.. hata kama point zao ni za zaman .. zitabaki hivyohivyo with 0.00 change (mf, Tanzania tunaweza tusicheze mechi za FIFA miaka miwil kwa sababu zinazotambulika na FIFA na point zetu zikabaki hapohapo with 0.00 changes)tatizo ni ukifungwa unapoteza points, ukishinda unaongeza points.. so kwa palestina kazi ni kwako kufikisha hizo points zao kwa kushinda mechi zote za FIFA.. sio ajabu palestine kuwa juu yetu.. unless hufaham rankings zinavyopatikana
(ila kiuhalsia palestina ipo inacheza mechi za FIFA)
Kwenye national team tulikuwa majinga sn ngj tuone kama kweli tumeamka.
 
Mimi nilitegemea mtushinde angalau kwenye kandanda maana huwa tumelegea sana upande huo. Au basi hata mngetushinda kwenye rugby maana rugby huwa inataka mijitu yenye miraba minne iliyokula na kujishibia na kuvimbiwa. Nyinyi huwa mnajidai mna chakula kwa wingi na sisi tunakufa njaa. Sasa iweje watu kama sisi tunaokufa njaa ndio angalau tunajaribu kucheza rugby ila nyie mijitu yenye miraba minne mliokula na kujishibia bado mnashindwa kucheza mchezo huu? Mnakula sana ili iweje? Itakuwa mnakula na kukunya tu bila kutumia nguvu hio kwenye mambo ya maana.
Tazama wazee wa kazi waliposhinda Singapore 7s mwaka wa 2016 kwa kushinda kila mtu uwanjani.

View attachment 1982069

View attachment 1982070

Kazi yenu ni kukula na kukunya tu, nguvu hio mnaipeleka wapi?
View attachment 1982071
Sie hatuna chakula ila angalau tunajaribu kuiwakilisha Afrika kwenye michezo za watu walioshiba
A90E0580_-_Oscar_Ayodi.jpg

Endeleeni kujipiga vifua kwamba mna chakula ya kutosha na kwamba mnailisha Africa ila tunawapiga kwenye michezo zote.
Mpira wa vilabu sisi ndio tunawawakilisha vyema EA, pamoja na Sanaa pita hapa 👇
Screenshot_20211021-183723_1.jpg
 
Kwenye national team tulikuwa majinga sn ngj tuone kama kweli tumeamka.

kwa gap ya points zilizopo kati ya kenya na Tanzania, tukishinda mechi angalau tatu za FIFA na wakenya wakapoteza hata mbili tutakuwa tunaongea habari nyingine
Rwanda September walikuwa juu yetu.. wakapoteza mechi zote mbili October vs Uganda, sis tumeshinda moja vs Benin.. saiz ni tupo juu yao
 
Back
Top Bottom