Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakuu tunaweza kuchukulia poa haya masuala ya tozo za miamala ila kwa upande mkubwa tozo zipo juu

na hii ndiyo itakayokuja kuongoza kwa ukusanyaji mapato na kuacha mbali sekta kubwa nyingine muhimu..

Tozo za miamala ni kandamizi kwa wananchi ambao wengi ni hali ya chini
 
Apo mkuu usitake kulazimisha mambo yasio landana unawezaje kulinganisha nchi za Afrika na marekan kwenye swala la chanjo? Wakati kule zipo za kutosha km wahawajachanja ni sababu ya kutotaka uwezi linganisha na Afrika kamwe....alafu tusilazimishane kuchanja mnao ona inamana nendeni mkachanje .
Wakat unabishana apa nijibu kwanini visiwa vya shelisheli ambapo kwa Afrika ndio tunaweza sema wamechanjwa kwa asilimia kubwa, wamekufa sana kwa korona?
Lete ushahidi kwamba USA wanazo dose 400M Sasa hivi zenye kukidhi watu wote waliopo Marekani Sasa hivi.
Huko shelisheli, Italy na nchi za Ulaya walikufa kwa wingi kipindi chanjo hazijaanza, mbona husikii tena lile wimbi la watu elfu 6 kufa kwa siku Moja huko Ulaya na Marekani?, au unahisi waliomba makanisani na misikitini?
 
Kusu number ya vaccine doze iliyopo USA, sina haja ya kukujib unaweza anza na kujiuliza why they provide donation of vaccine doze
Wacheni michezo ya kujifanya wajuaji, fanya utafiti kabla ya kunijibu...
Screenshot_20211020-172651.jpg
 
Lete ushahidi kwamba USA wanazo dose 400M Sasa hivi zenye kukidhi watu wote waliopo Marekani Sasa hivi.
Huko shelisheli, Italy na nchi za Ulaya walikufa kwa wingi kipindi chanjo hazijaanza, mbona husikii tena lile wimbi la watu elfu 6 kufa kwa siku Moja huko Ulaya na Marekani?, au unahisi waliomba makanisani na misikitini?
Sasa tulio omba unaona tumeumia kiasi gn?...compare na hao walio fwata science , wacha porojo kaka....unajua watu wangapi wanakufa kwa marelia tu kwa siku?ukimwi?
Sina haja ya kupinga chanjo ilo iyo inayotolewa wakati kirus bado kipo kwenye evolution kachanjwe tu
 
Kusu number ya vaccine doze iliyopo USA, sina haja ya kukujib unaweza anza na kujiuliza why they provide donation of vaccine doze
Wacheni michezo ya kujifanya wajuaji, fanya utafiti kabla ya kunijibu...View attachment 1981004
Next time usizungumze vitu bila ushahidi. Marekani ikitoa misaada kusaidia nchi masikini duniani haina maana kwamba hakuna raia wa Marekani ambao ni masikini.
 
Sasa tulio omba unaona tumeumia kiasi gn?...compare na hao walio fwata science , wacha porojo kaka....unajua watu wangapi wanakufa kwa marelia tu kwa siku?ukimwi?
Sina haja ya kupinga chanjo ilo iyo inayotolewa wakati kirus bado kipo kwenye evolution kachanjwe tu
Kwahiyo unataka hadi na sisi tufe kwa wingi Kama walivyokufa wao ndio tukubali kuchanjwa?
 
Next time usizungumze vitu bila ushahidi. Marekani ikitoa misaada kusaidia nchi masikini duniani haina maana kwamba hakuna raia wa Marekani ambao ni masikini.
Wacha kuchanganya madesa siku nyingine, unaonekana unaongea akuna, yani marekani iache kutengeneza chanjo za kutosha watu wake kwanza!! ipoteze mda na nchi fukara,na usisahau ile ni nchi ya kibepari, mpaka kuwahonga wananchi dollar mia kila atakae kubali kuchanjwa manake zipo za kutosha
 
French minister unveils electric cars in Tanzania

Electric pic

Summary

  • The company launched its first two electric cars in 2018 taking advantage of used Toyota car recycling (deployed in Serengeti National Park and Mkomazi National Park, the Rhino Sanctuary)

Alex pic

By Alex Nelson Malanga
More by this Author

Dar es Salaam. French Minister for Foreign Trade and Economic Attractiveness Franck Riester yesterday officially launched the environmentally-friendly electric cars created by E-Motion Africa.

E-Motion Africa was created in 2019 with the aim of providing an original and simple solution to the challenge of decarbonizing transport in Tanzania and proposes to convert the diesel engine of safari vehicles into an electric motor, powered by energy photovoltaic.

“There is no gas emission. It is really vehicle for the future,” noted the minister.

He said the creation of E-Motion Africa is the result of a partnership between four companies with expertise in their field (Hanspaul Group, a manufacturer of safari cars, Gadgetronix, a builder of solar farms, Akuo, and Carwatt).

“We are committed to promoting partnership and sharing technology with Tanzania,” said Mr Riester.

The project was initiated by the French safari company Mount Kilimanjaro Safari Club (MKSC) which has been operating for twenty years in the north of the country in national parks.

The company launched its first two electric cars in 2018 taking advantage of used Toyota car recycling (deployed in Serengeti National Park and Mkomazi National Park, the Rhino Sanctuary) and since then the company has 9 electric cars at three different locations and a garage in Arusha.

“The objective is to give a second life to vehicles and to use Renault recharging batteries (those which are no longer suitable for European cars) a second life, and to equip all safari vehicles,” said Mr Riester.

This in turn, he added, would allow a silent movement, more respectful of the fauna in the parks, which is doubly respectful of the environment.

In addition, E-Motion Africa has partnered with Arusha Technical College by including it in its board of trustees and offering graduate students the opportunity to join the company.

MKSC managing director George Ole Meing’arrai said from economic, social and environmental point of view, the benefits of the project will be significant and could also be extended to other forms of mobility (buses, taxis, safari cars and private vehicles).

If the e-car battery is fully charged, he said, it could cover a distance of between 130-150km.

The battery, according to him could be charged in between three and 12 hours depending on the type.

He said currently one could charge the battery using home electricity.

However, if demand went high in future, Mr Meing’arrai said they would consider setting up various filling stations in the country.

He revealed that the costs for converting a diesel engine vehicle into electric motor stood at between $42,000 and $43,000.
Official data have it that in 2030, nearly 1.4 million batteries will need to be recycled.

With E-Motion Africa, Tanzania’s tourist attractiveness will be considerably enhanced as it will be the first country in Africa to use electric cars on all of its safaris, according to a part of statement availed to The Citizen.

Vehicle maintenance costs will be greatly reduced by converting vehicles to electric.

The experience observed on retrofit safari vehicles in the private sector suggests savings of nearly $5,000 per year per vehicle (more oil, filter, brake pads, battery change, etc.)

Watanzania ambao wamejaa Kenyan section ya jamii forums wanakuanga na very low IQ. Yani argument zao ni za kipuuzi tu. Jamaa anasema tu kitu bila evidence ilimradi kujaza uzi tuu. Yani sometime inabidi una log off usiambukizwe ujinga na watanzania hapa.
Hapa ni base ya kuchilax and having fun ukichambua baseless arguments na vioja kwa wingi., Many are totally clueless.
 
Back
Top Bottom