Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona jamani mnapenda hvyo vipanya sura mbaya mbaya jamani, angalia kitu hichoView attachment 1980597
Hivi vipanki havitumiwi tena Tanga ni old fashion gari ikipanda tuta, kichwa kinagonga roof .. siku hizi ni mwendo wa hizo dungu kama niliyopost, hivyo vipanki havitumiwi tena labda Arusha kidogo ndio wanatumia hivyo ila kwa Tanga tulishavipiga ban hakuna mtu atapanda ukileta nowdays
 
Rais wa Burundi kuweka jiwe la msingi kiwanda Dodoma na Kutembelea bandari na SGR Dar
IMG_2488.jpg

IMG_2489.jpg
 
Wewe ni mropokaji na kujitia mjuaji.

Humjui Malema.

Malema ni mtu mwenye kuchukia watu weupe na mabeberu, pia ni MTOVU wa Nidhamu.

Ndani ya ANC kuna magroup mawili yanayo support uchukuaji wa ardhi toka kwa watu weupe. Group la kina Zuma lenye ideology iliyosawa na kina Malema, na group la kina Mbeki hawa watu wa diplomasia.

Hakua na fujo, alikua ni mtovu wa nidhamu mkubwa sana na kufanya mambo mengi kitoto.

Ndio maana aliomba msamaha kwa Thabo Mbeki hadharani, na pia alienda kwa Mama yake Thabo Mbeki kuomba msamaha.

"Julius Malema on Tuesday apologised for maligning former presidents Thabo Mbeki and Nelson Mandela"

Huyo mtu alifeli shule sema ni mtu wa talalila ndefu na mtovu wa nidhamu, thanks alijua hilo na ulirudi shuleni.

Wewe utakua ulimjua late.

All in all, Mandela hakua na uwezo wakuwafanyia makubwa watu wa South Africa na hakua leader wa kihivyo.

Ni ANC waliamua kumbrand na kumarket Mandela - hili pia liliwekwa wazi na Thabo Mbeki alipoandika barua ya wazi kwa Zuma. Aliliweka bayana "Cult of Personality".

Ndio maana nakusihii acha ujuaji usio na tija. Mandela had nothing extraordinary.
Malema,Polepole na wewe wote ni kundi moja wote waropokaji.
 
Naona waturuki wanatafuta tenda ya lot 3 na 4 kwa nguvu zote, wamemchagua mama Samia kuwa kiongozi bora mwanamke wa mwaka katika jarida la The Muslim 500
Mama ni mtu mkweli asiyeyumhishwa,ni mda tuu atamtimua dalali wao Kadogosa ndio wataelewa vizuri..Zama za kuzani viongozi wa Afrika ni wajinga zimeshapita zamani sana.
 
Wewe ni mropokaji na kujitia mjuaji.

Humjui Malema.

Malema ni mtu mwenye kuchukia watu weupe na mabeberu, pia ni MTOVU wa Nidhamu.

Ndani ya ANC kuna magroup mawili yanayo support uchukuaji wa ardhi toka kwa watu weupe. Group la kina Zuma lenye ideology iliyosawa na kina Malema, na group la kina Mbeki hawa watu wa diplomasia.

Hakua na fujo, alikua ni mtovu wa nidhamu mkubwa sana na kufanya mambo mengi kitoto.

Ndio maana aliomba msamaha kwa Thabo Mbeki hadharani, na pia alienda kwa Mama yake Thabo Mbeki kuomba msamaha.

"Julius Malema on Tuesday apologised for maligning former presidents Thabo Mbeki and Nelson Mandela"

Huyo mtu alifeli shule sema ni mtu wa talalila ndefu na mtovu wa nidhamu, thanks alijua hilo na ulirudi shuleni.

Wewe utakua ulimjua late.

All in all, Mandela hakua na uwezo wakuwafanyia makubwa watu wa South Africa na hakua leader wa kihivyo.

Ni ANC waliamua kumbrand na kumarket Mandela - hili pia liliwekwa wazi na Thabo Mbeki alipoandika barua ya wazi kwa Zuma. Aliliweka bayana "Cult of Personality".

Ndio maana nakusihii acha ujuaji usio na tija. Mandela had nothing extraordinary.
Kama dunia nzima ilimkubali Mandela, wewe ni nani na unalipi la ziada?, Huo ujuaji ndio unaowafanya kukataa chanjo iliyokubalika duniani kote na kumdhalilisha Magufuli aliyependwa na kukubalika nchi nyingi duniani.

Ninarudia tena, ni busara mawazo yako ukayalinganisha na mawazo ya waliowengi, hata Mandela wakati anapigania haki za watu weusi aliitwa gaidi, mtovu wa nidhamu na maneno mengi ya kumdhalilisha.

Julius Malema "is a radical politician", hiyo mara nyingi haipendezi kwa watu wengi, yes anayo mapungufu yake lakini mazuri yake yanazidi mabaya yake, ndio sababu umaarufu wake na umaarufu wa chama chake unazidi kuongezeka siku hadi siku, "The guy is making waves inside and outside South Africa", wewe endelea kuwashusha na kuwaponda watu wanaozidi kufanikiwa kwa kisingizio cha Elimu, wewe Elimu uliyonayo ukilinganisha na Malema ipi yenye kuleta manufaa?
 
Back
Top Bottom