Rudi shuleInflation increases with economic growth. Najua huelewi correlation between the two lakini si ni shauri yako.
Rudi shuleInflation increases with economic growth. Najua huelewi correlation between the two lakini si ni shauri yako.
Wacha kujifanya umeambulia kitu wakati unandika ujinga mtupu...kuwa kinyume na mtu ni jambo la kawaida sn, ila huwezi jifanya ww ni bora kwenye kukosoa kila kitu alafu uonekane uko sawa...Hampendi mtu yeyote yule anaye challenge fikra zenu ama kuwaambia ukweli, yaani mnataka anyone who pleases u and agrees with your position, ata kama ni porojo or skewed reasoning, it is prudent and a sign of maturity to accept divergent views without considering an individual to be an enemy, just because he/she is opposing your perception of things.., wengi mko na utoto wa kishamba sana.
Ww funga bakuli huna unacho jua ...kajadili yako uko kuhusu uhunyeGeza ambaye ndiye taga mkuu amechukiwa na mataga wenzake sababu ya kusema ukweli kua JPM alikua muuaji na alipendelea maendeleo chato kumaanisha pia JPM alikua dictator.
Jamaa unajikuta nani wewe.?Hampendi mtu yeyote yule anaye challenge fikra zenu ama kuwaambia ukweli, yaani mnataka anyone who pleases u and agrees with your position, ata kama ni porojo or skewed reasoning, it is prudent and a sign of maturity to accept divergent views without considering an individual to be an enemy, just because he/she is opposing your perception of things.., wengi mko na utoto wa kishamba sana.
Kama dunia nzima ilimkubali Mandela, wewe ni nani na unalipi la ziada?, Huo ujuaji ndio unaowafanya kukataa chanjo iliyokubalika duniani kote na kumdhalilisha Magufuli aliyependwa na kukubalika nchi nyingi duniani.
Ninarudia tena, ni busara mawazo yako ukayalinganisha na mawazo ya waliowengi, hata Mandela wakati anapigania haki za watu weusi aliitwa gaidi, mtovu wa nidhamu na maneno mengi ya kumdhalilisha.
Julius Malema "is a radical politician", hiyo mara nyingi haipendezi kwa watu wengi, yes anayo mapungufu yake lakini mazuri yake yanazidi mabaya yake, ndio sababu umaarufu wake na umaarufu wa chama chake unazidi kuongezeka siku hadi siku, "The guy is making waves inside and outside South Africa", wewe endelea kuwashusha na kuwaponda watu wanaozidi kufanikiwa kwa kisingizio cha Elimu, wewe Elimu uliyonayo ukilinganisha na Malema ipi yenye kuleta manufaa?
joto la jiwe yuko vizuri kichwani ila nachoshangaa ni yeye kushindwa kuelewa jinsi dunia hii inavyokwenda, labda ni kukosa exposure au anamaslahi fulani.Nakusikitikia sana! Usiwe bendera fuata upepo.
So, Dunia ikikubali ujinga basi....? Hivi unafikiri unafikiri uvumbuzi ulitokana na kufuata dunia or kupinga mitazamo ya Wadunia?
Kaa utambue kuanzia leo: "Being on the side of the majority is often a sign that you are wrong, or most unlikely to be right."
Ndio hapo nashangaa!joto la jiwe yuko vizuri kichwani ila nachoshangaa ni yeye kushindwa kuelewa jinsi dunia hii inavyokwenda, labda ni kukosa exposure au anamaslahi fulani.
Kwa hiyo na sisi tukubali tuu kuwa Mandela ni bora kwa kuwa tuu wakubwa wamesema? Tukubali kila kitu cha WHO kwa kuwa wamesema? Tukubali tuu chanjo kwa kuwa wamesema? Kwa akili hizi tutaendelea kutawaliwa kifikra miaka nenda miaka rudi.
Mkuu, kwa upande wa exposure nipo vizuri, labda useme Elimu, sikubahatika kufika chuo Kikuu.joto la jiwe yuko vizuri kichwani ila nachoshangaa ni yeye kushindwa kuelewa jinsi dunia hii inavyokwenda, labda ni kukosa exposure au anamaslahi fulani.
Mtu utashindwaje kuelewa kuwa Mandela amepaishwa kwasababu aliwaachia Boers uchumi wote. Yaani wazungu wa South Africa ambao ni 8% ya population wanamiliki 90% ya ardhi yote, halafu kiongozi wa nchi upo tuu unafurahia kusifiwa huku 90% ya wananchi wako wanaumia? Inaingia akilini kweli?
Kwa hiyo na sisi tukubali tuu kuwa Mandela ni bora kwa kuwa tuu wakubwa wamesema? Tukubali kila kitu cha WHO kwa kuwa wamesema? Tukubali tuu chanjo kwa kuwa wamesema? Kwa akili hizi tutaendelea kutawaliwa kifikra miaka nenda miaka rudi.
Education (elimu) ni neno waingereza (hata wafaransa) walilitohoa kutoka neno la kigiriki linaloitwa Educo, likimaanisha, to draw out from within. Kukaa darasani siyo lazima kuelimika.Mkuu, kwa upande wa exposure nipo vizuri, labda useme Elimu, sikubahatika kufika chuo Kikuu.
Yuda
Tatizo sio hao watu bali ni hawakuwa na maeneo maalumu, ni kama usipoweka makabati ya nguo au vyombo nyumbani kwako ndio utajua jambo hiliHawa watu walikuwa wanakwenda kuuharibu huu mji kwa mabanda yao, mm cwez kusapot huu ujinga hata kidogo, vijana wadogo wanatoka vijijini huko hawataki kusoma wanakuja kuwa machinga wanatuchafulia miji kwa huu upumbavu wa slogan ya mnyonge.

FIFA Rankings mpya zinatoka kesho, nimefanya calculations nataka nione kama zitafanana na zao hio kesho tar 21 October
Tanzania![]()
Old points: 1115.37
New Points: 1115.81
Change: +0.44
Kenya![]()
Old points: 1205.12
New Points: 1170.82
Change: -34.3
Uganda![]()
Old points: 1288.85
New Points: 1297.35
Change: +17.5
Rwanda![]()
Old points: 1129.37
New Points: 1096.86
Change: -32.51
- Rwanda walikuwa wametuzidi points na ranking, ila zitakazotoka kesho, tutawazidi points na ranking
- Hizi nimepost tu, kesho zitakapotolewa nitarud kuona kama calculations zilikuwa sahihi au la
View attachment 1981337
View attachment 1981338