Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu 700 kifariki ni kidogo?, kweli maisha ya waafrika hayana thamani, au kwasababu mabwana wakubwa wa kizungu wamekufa wengi basi unadhani ni halali watanzania 700 kufa?, Samahani ila hayo ni mawazo ya malofa kusema watu 700 ni kidogo, ni matumaini yangu wewe sio lofa ila umeteleza[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata 7000 bado ni kidogo sana
 
Sasa naona unabisha tuu bila kujua unabishia nini.

Ni hivi, US chanjo zimeanza kutolewa toka mwaka jana na kila sehemu unaweza kuchanja bure. Walmart, Walgreens, CVS pharmacy, mashuleni na vituo vyote vya afya, hivi viko kila mahali na wanatoa huduma hiyo. Yaani ushindwe mwenyewe tuu. Sababu ya baadhi yetu kutochanja mpaka sasa ni kuwa hatutaki.

Sijui kwa nchi nyingine, ila kwa US hakuna uhaba wa chanjo.

Wewe ndiye uliyeleta hoja ya chanjo kama kigezo cha Tanzania kukubaliwa, ndiyo maana nimekuonesha nchi ambazo zimechanja zaidi yetu na bado zimekataliwa. Sasa ni juu yako kutetea hoja yako.
Kaka wacha kuzungumza Mambo usiokuwa na uhakika nayo, chanjo za UVIKO 19 tangu zithitishwe na WHO haijazidi miezi 8, viwanda vinavyotengeneza hizi chanjo duniani kote havizidi 5, vipi unasema hivi viwanda vinauwezo wa kutosheleza dunia nzima?, Sio kweli kwamba wanarekani hawana shida ya chanjo.

Lazima nchi iweke oda ya chanjo na watakuwa wanaletewa kadri zinavyotengenezwa kiwandani. Hakuna nchi yoyote duniani kwa sasa yenye uwezo wa kutoa chanjo kwa raia wake wote ndani ya kipindi kifupi labda Kama wananchi wake hawazidi laki 3, lazima utoaji chanjo uendani na Kasi ya uzalishaji wa chanjo yenyewe, ndio sababu umoja wa Africa (AU), umeamua kuweka "order" ya pamoja ya nchi zote za Africa.
 
Sasa naona unabisha tuu bila kujua unabishia nini.

Ni hivi, US chanjo zimeanza kutolewa toka mwaka jana na kila sehemu unaweza kuchanja bure. Walmart, Walgreens, CVS pharmacy, mashuleni na vituo vyote vya afya, hivi viko kila mahali na wanatoa huduma hiyo. Yaani ushindwe mwenyewe tuu. Sababu ya baadhi yetu kutochanja mpaka sasa ni kuwa hatutaki.

Sijui kwa nchi nyingine, ila kwa US hakuna uhaba wa chanjo.

Wewe ndiye uliyeleta hoja ya chanjo kama kigezo cha Tanzania kukubaliwa, ndiyo maana nimekuonesha nchi ambazo zimechanja zaidi yetu na bado zimekataliwa. Sasa ni juu yako kutetea hoja yako.
Kwahiyo Kenya, Rwanda na Uganda ambako wamehamasishwa na kuhamasika kuchanja Nako pia sababu ya kuwa na "low covarege rate" ni kwamba hawataki?(wenyewe wanakusikiliza[emoji23][emoji23][emoji23]).

Huu upuuzi wa kupinga chanjo alianzisha Magufuli na sanasana ni hapa Tanzania, nchi zote zinazotuzunguka watu hawana tatizo na chanjo.

Katika Mambo yaliyoshusha heshima ya Magufuli duniani ni pamoja na hili la kupinga chanjo bila kufanya utafiti wa kisayansi, tusijaribu kuambuliza mapungufu yetu kwa watu wengine.
 
Vijana wengi wa kizazi kipya Dar hata hawajui kuwa "canter" huwa zinatumika kubebea abiria, hii ni kwakuwa ziliacha kutumika miaka mingi sana.
Sasa mpunguze dharau mnaposema tunatumia Daladala old model kwaajili ya abiria, angali hizo canter mnazochongea body na kuweka mabenchi ya mbao sisi tunazitumia kwaajili ya kupakia mbolea,kubebea vifusi.... Sijawahi ku comment kwenye hili jukwaa ila baada ya kuonyesha dharau wazi wazi imebidi ni comment .... Wakunyaland shikamooni na uharo wenu
JamiiForums1652550327.jpg

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mpunguze dharau mnaposema tunatumia Daladala old model kwaajili ya abiria, angali hizo canter mnazochongea body na kuweka mabenchi ya mbao sisi tunazitumia kwaajili ya kupakia mbolea,kubebea vifusi.... Sijawahi ku comment kwenye hili jukwaa ila baada ya kuonyesha dharau wazi wazi imebidi ni comment .... Wakunyaland shikamooni na uharo wenuView attachment 1980380

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Acha uongo. South Africa wanatumia chanjo from day one na tulikua grouo moja kupigwa ban huko UK.

Sisi tumefunguliwa, wao je? Na idadi ya waliochanja ni kubwa mno kuliko yetu.
Kwahiyo unataka kusema nini hapa?, Kwamba Tanzania hatuhotaji chanjo au?. Hao UK wenyewe ndio vinara wa kuchanjwa duniani, punguzeni ujuaji na maneno ya vijiweni lazima tusikilize na kufuata ushauri wa wataalamu wa afya(WHO na Wizara ya Afya)
 
Kaka wacha kuzungumza Mambo usiokuwa na uhakika nayo, chanjo za UVIKO 19 tangu zithitishwe na WHO haijazidi miezi 8, viwanda vinavyotengeneza hizi chanjo duniani kote havizidi 5, vipi unasema hivi viwanda vinauwezo wa kutosheleza dunia nzima?, Sio kweli kwamba wanarekani hawana shida ya chanjo
Kumbe nabishana na mtu asiyefahamu, wanaothibitisha chanjo kutumika US ni FDA tuu. Na chanjo ya Pfizer ilithibitishwa kutumika under EUA (emergency use authorization) Dec 11 2020, sijui hiyo miezi nane umeitoa wapi?
Lazima nchi iweke oda ya chanjo na watakuwa wanaletewa kadri zinavyotengenezwa kiwandani. Hakuna nchi yoyote duniani kwa sasa yenye uwezo wa kutoa chanjo kwa raia wake wote ndani ya kipindi kifupi labda Kama wananchi wake hawazidi laki 3,
Nshakueleza, US chanjo za mRNA ziko za kumwaga, hadi kwenye masupermarket wanatoa ila watu wengi tuu wanazikaushia. Ila isiwe tabu, kwa hili sitaendelea kubishana na we, kitu ambacho ni dhahri hukijui ila unajipiga tuu kifua.
 
Kumbe nabishana na mtu asiyefahamu, wanaothibitisha chanjo kutumika US ni FDA tuu. Na chanjo ya Pfizer ilithibitishwa kutumika under EUA (emergency use authorization) Dec 11 2020, sijui hiyo miezi nane umeitoa wapi?

Nshakueleza, US chanjo za mRNA ziko za kumwaga, hadi kwenye masupermarket wanatoa ila watu wengi tuu wanazikaushia. Ila isiwe tabu, kwa hili sitaendelea kubishana na wewe kwa kitu ambacho ni thadhri hukijui ila unajipiga tuu kifua.
Sasa kuanzia December 2020 hadi Leo ni miezi mingapi?, Hizi chanjo za UVIKO tangu zimeamza kutumia "in public " haizidi miezi 8 kwasasa.

Wewe uelewa wako katika eneo la "Molecular immunology" ni dogo Sanaa hadi unachekesha,[emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe unadhani chanjo yoyote iliyotengenezwa kutokana na mRNA inaweza kutumika kuchanja COVID-19 virus [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], lazima itumike mRNA ya kirusi cha COVID 19.
 
Sasa mpunguze dharau mnaposema tunatumia Daladala old model kwaajili ya abiria, angali hizo canter mnazochongea body na kuweka mabenchi ya mbao sisi tunazitumia kwaajili ya kupakia mbolea,kubebea vifusi.... Sijawahi ku comment kwenye hili jukwaa ila baada ya kuonyesha dharau wazi wazi imebidi ni comment .... Wakunyaland shikamooni na uharo wenuView attachment 1980380

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Mi mbongo bana, vipi tena unantolea povu?
 
Kwahiyo unataka kusema nini hapa?, Kwamba Tanzania hatuhotaji chanjo au?. Hao UK wenyewe ndio vinara wa kuchanjwa duniani, punguzeni ujuaji na maneno ya vijiweni lazima tusikilize na kufuata ushauri wa wataalamu wa afya(WHO na Wizara ya Afya)
Huoni anaye leta ujuaji hapa ni wewe? Wapi nimesema Tanzania haihitaji chanjo?

Kama huelewi mtu alichoandika, ni vyema ukaishia kwenye maswali kuliko kuja na assumptions za hovyo.
 
endelea kuota ndoto za mfalme juha,

yaani Tz uweke old fashion ya buses utapoteza soko ndani ya sekunde na kama ukipata abiria basi ni wakikenya na kwenye seat mtajikuta mnapwaya
Nyie kwenu kumejaa vipanya old fashion bchi nzima[emoji1787][emoji1787]
Yani mikoa yote alafu sura mbaya kweli
 
Mkuu tuanze kumchambua Nelson Mandela mapungufu yake
1)Alishindwa kabisa kuwasaidia watu weusi kiuchumi
2)Baada ya kuachiwa toka Gerezani na kupata urais, aliamua kukaa karibu zaidi na wazungu na kusahau kabisa kwamba lengo la watu weusi kupinga utawala wa wazungu ni dhuluma ya kiuchumi kuliko madaraka ya kisiasa. Julius Malema aliona hilo ndio chanzo cha kuanzisha EFF.
3)Alijilimbikizia Mali nyingi yeye na ukoo wake ndani ya kipindi kifupi Sana alichokua madarakani
4) Maisha yake binafsi yaligubikwa na kashfa za kupenda kubadilisha wanawake.

Pamoja na mapungufu yote hayo, lakini Mandela anabaki kuwa miongoni mwa viongozi Bora kabisa duniani kwasababu mazuri yameyazidi mabaya yake kwa mbali Sana, vivyo hivyo Kwame Nkuruma wa Ghana.

Magufuli anayomapungufu yake, mengi ya yale unayoyataja hapa yanaukweli kabisa, ndio sababu huwa ninasoma posts zako na huwa ninacheka, lakini tukubali kwamba mazuri yake yamezidi mabaya yake kwabali Sana. Tukipanga Mambo aliyofanya kwa usahihi vs Yale aliyokosea utaona ukweli huu.
Wewe nawe ni mtu wa story za vijiweni. Ila nikushauri, achaa ujuaji usio na tija.

Nikuweke tu sawa:

1. Malema alianzisha EFF kwakua alitimuliwa ANC ambapo alikua akiongoza ligi ya vijana ya ANC baada ya bifu zito na Zuma waliyempigania kushinda uenyekiti wa ANC in Mangaung na baadaye kumrecall Mbeki kuachia Urais wa South Africa.

2. Mandela hakuwa na uwezo wowote wa kuwasaidia watu weusi kiuchumi kutokana na katiba waliokuwa nayo na misimamo ya chama cha ANC.

Kwa mfano, ndani ya South Africa, kuna eneo linaitwa 'Orania' hili eneo ni wazungu tu, na hawataki kuona mtu mweusi yoyete hata Polisi mweusi kuingia huko. Na pia, wana currency yao inaitwa 'Ora', ambayo, South African Reserve Bank (SARB) wamekataa kuiendorse, wana mfumo wao wa elimu tofauti na wa South Africa, wana Redio yao na Bendera yao pia.

Orania ni kanchi ndani ya nchi, why? Kwakua inatambuliwa kikatiba kama private area.

Maswala haya yameanzia kwenye negotiations in 1980s ambapo Tanzania chini ya Nyerere ndio walikua wakiwaamuru ANC negotiators nini kiwepo na nini kisiwepo.

Ninakuwekea clip ya video hapa, umsikie Rais Thabo Mbeki akilieleza kwa ufupi hili upangaji wa makubaliano ulivyoratibiwa na Tanzania ndani ya University of South Africa (UNISA).

Back
Top Bottom