Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mzee, Magufuli alikuwa a poisonous chalice to our togetherness, u drink his charm concortion u die of ignorance and stupidiy, he was very parochial and actually alikuwa rediculated all over the globe na theory zake za Corona! In short very controversial and devisive and incitive, he could talk of graft with all jugular vein out! Then tomorrow he retreats home and initiates a similar project in his backyard Chato with all the signs of serious tribalism and impunity! Yaani was never reliable! msome vizuri utagundua ninachosema! Anaweza kusema mradi huu ni wa rushwa na kelele nyingi kesho unasikia mradi kama huohuo unajengwa kijijini kwake! Sabaya kapewa 30 zake kwa ujinga wa kutukuza Magufuli saahii hayupo kumkingia kifua!

CC: malaya wa Kisiasa Baba na mama yake mzazi

IMG_4857.jpg
 
ndo nachoombea kama unakumbuka nilibishana na mtu kuhusu Etihad nikasema watalii wetu wengi wapo Ulaya na North America na it will make sense kuwa na ubia na mashirika ya huko! Abu Dhabi it is too tricky kwetu! Yaani Air Tanzania iangalia kuchukua nafasi ya KQ katika ubia na KLM/Air France tuna kila vigezo vya kufanikiwa hata viwanja vya kimataifa pia! Kumbuka Mwanza na Songwe ni international standards na uwanja wa Msalato unakuja!

Nilikuelewa sana as always
 
Hawa watu walikuwa wanakwenda kuuharibu huu mji kwa mabanda yao, mm cwez kusapot huu ujinga hata kidogo, vijana wadogo wanatoka vijijini huko hawataki kusoma wanakuja kuwa machinga wanatuchafulia miji kwa huu upumbavu wa slogan ya mnyonge.
Mitaro mingi ya maji machafu iliziba kwa sababu yao kujenga vibanda vyao juu ya mitaro.
 
Hawa watu walikuwa wanakwenda kuuharibu huu mji kwa mabanda yao, mm cwez kusapot huu ujinga hata kidogo, vijana wadogo wanatoka vijijini huko hawataki kusoma wanakuja kuwa machinga wanatuchafulia miji kwa huu upumbavu wa slogan ya mnyonge.
populist Magufuli aliwaruhusu!
 
Chief Mkwawa. Humu mwamba tunamchukulia poa sana lakini alifanya makubwa hasa kwa kipindi kile. Alimpa wakati mgumu sana mjerumani Ni sawa sawa na Daudi na Goliath. ANAFAA KUKUMBUKWA KWA KUJENGEWA SANAMU.
Nimekuelewa!!He deserve!!!.
 
Ndani ya vazi la mgolole na lemba kichwa!!!,Tunapiga na Plaque ikielezea historia yake!!!Ndo namna ya kuhifadhi historia kwa ajili ya vizazi na vizazi!!!
 
Ujinga wa mwendazake wa kukata miti kuchonga vinyago bado unaendelea mbona wasitumie gunia la katani kuchora picha safii na kumkabidhi huyo Waziri?
 
Back
Top Bottom