The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Nikweli hatupaswi kuwapa attention wajinga ila yakizidi inabidi utoke ukanushe au uwakumbushe walipotoka, mana ujinga ukiachwa hugeuka kuwa ukweli.Tatizo linaanzia mmekutana wote ni aina ile ya watu ambao hamuwezi kumpuuza mtu kwa sababu mtaonekana dhaifu au mtakuwa mmeonesha udhaifu au labda mtaonekana mmeshindwa kumbe walaa hata.![]()


