Nimegundua wewe ni mjinga sn, Magu ni kama chifu Mkwawa, tupo hapa kwa ajili ya Magu, hawa Wakenya ambao leo wametii ni kwasababu ya Magu, la sivyo tulikuwa hatuna 7bu yoyote ya ku compete na Wakenya cz walituzidi kwa mambo mengi, mm nilikuwepo wkt huu uzi unaanzishwa lkn ckuthubutu kujibishana na Wakenya, nilikuwa na Id tofauti na hii, hatukuwa na uwezo wa kupambana na Kenya cz walituzidi ila leo Magu ametupa kauli ya kushindana hata Wakenya wanajua hilo na ndiyo maana wanamchukia Magu, ss wewe na upumbavu uliobeba kichwani unaanza kumtusi mtu aliyekupa 7bu ya kuwa hapa, huo ni ujinga.