Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa ☝️ mzee geza umetupiga changa la macho, umewahi kufika hizi sehemu au unaokota picha Google na kuropoka tu.? Geita town pameendelea zaidi, mara hata 100 mbele ya chato, chato ni kijijini tu mzee wangu, kuanzia individual development level na kila kitu geita ipo mbele ya chato... Kuhusu kupendelewa naeza sema ndio au hapana, kwa mfano kujengwa kwa uwanja wa ndege chato ni sahihi since kuna mbuga ya wanyama kubwa tu (CHATO BURIGI) ili watalii washuke moja kwa moja (this the reason ule uwanja wa ndege wa KIA kutengenezwa Moshi while Arusha ndio tourism hub na ni jiji kubwa kulinganisha na Moshi) alafu hata hivyo chato ipo karibu sana na Geita mjini, pia ulikua ni mpango wa serikali kujenga/kuboresha airports kila mkoa.... kujengwa kwa tawi la CRDB chato ni sahihi, rudi kwenye makusudio ya benki hiyo na lengo la kuanzishwa kwake, Anza hapa CRDB means COOPERATIVE RURAL DEVELOPMENT BANK (benki ya maandeleo ya vijijini) hizi zipo kila mahali hapa tz kuna ubaya gani katawi Chato kujengewa yakwao.? na ni wilaya kubwa tu.?.. kuhusu VETA pia hakuna ubaya kujengwa Chato, ukiwa kiongozi lazima uongozi huo uanzie nyumbani, lazima nyumbani kwako na penyewe pawe mfano, wazungu wanasema "Charity begins at home" haikua dhambi kuwatengezea wakwao chuo Ili wapate ujuzi na hatimae kujikwamua katika umaskini na kuleta maendeleo CHATO na taifa Zima kwa jumla wake.. kuhusu HOSPITALI kubwa, kidogo kuna kaupendeleo raisi magufuli alifanya, kwasababu moja, makao makao makuu ya mkoa wa Geita ni Geita mjini hivyo basi hospitali Ilibidi itengenezwe makao makuu ya mkoa, lakini hata hivyo bado hospital kutengenezwa kule sio dhambi since Chato ni sehemu ya mkoa wa Geita, na pia ilikua ni mpango wa serikali kuwapunguzia Safari watu Kagera watakafuata huduma za afya mkoani Geita.. chukua hii mzee geza HUWEZI KUWA KIONGOZI WA TAIFA UNAFANYA MAENDELEO MAKUBWA NCHI NZIMA ALAFU NYUMBANI KWENU WATU WANAKUFA NJAA, huo utakua ni uhanangwa, kila siku tunawacheka wakenya humu raisi wao Moi alivyokufa nyumbani kwao hakutengeneza hata kipange cha barabara ya lami na jeneza lake lilipekwa kwa chopa


Chato haikupendwlewa ni chizi pekee ndio utamuaminisha huu ujinga
leta picha za Geita Town halafu mie nikulipe na za Chato wilaya! tuanze public facilities nishaonyesha hospitali, tawi la Benki na stendi za mabasi! Una zako ambazo zipo bora?


Tanesco Chato
E_lLqlkXoAo2kem



1.JPG


leta picha ya Tanesco Geita mjini!
 
Sisi wa wilaya ya Musoma Mjini tumejengewa Hospitali ya rufaa iliyowashida maraisi wa 4 waliomtangulia JPM na uwanja wa ndege unapanuliwa, sas sijajua na sisi tulipendelewa au?au utakua sisi tupo kisheria na Chato haipo kisheria.., nlitaka kusahau na barabara za lami za mitaani na mitaa km yote...
Musoma ni mji mkubwa.
 
Hapa mzee geza umetupiga changa la macho, umewahi kufika hizi sehemu au unaokota picha Google na kuropoka tu.? Geita town pameendelea zaidi, mara hata 100 mbele ya chato, chato ni kijijini tu mzee wangu, kuanzia individual development level na kila kitu geita ipo mbele ya chato... Kuhusu kupendelewa naeza sema ndio au hapana, kwa mfano kujengwa kwa uwanja wa ndege chato ni sahihi since kuna mbuga ya wanyama kubwa tu (CHATO BURIGI) ili watalii washuke moja kwa moja (this the reason ule uwanja wa ndege wa KIA kutengenezwa Moshi while Arusha ndio tourism hub na ni jiji kubwa kulinganisha na Moshi) alafu hata hivyo chato ipo karibu sana na Geita mjini, pia ulikua ni mpango wa serikali kujenga/kuboresha airports kila mkoa.... kujengwa kwa tawi la CRDB chato ni sahihi, rudi kwenye makusudio ya benki hiyo na lengo la kuanzishwa kwake, Anza hapa CRDB means COOPERATIVE RURAL DEVELOPMENT BANK (benki ya maandeleo ya vijijini) hizi zipo kila mahali hapa tz kuna ubaya gani katawi Chato kujengewa yakwao.? na ni wilaya kubwa tu.?.. kuhusu VETA pia hakuna ubaya kujengwa Chato, ukiwa kiongozi lazima uongozi huo uanzie nyumbani, lazima nyumbani kwako na penyewe pawe mfano, wazungu wanasema "Charity begins at home" haikua dhambi kuwatengezea wakwao chuo Ili wapate ujuzi na hatimae kujikwamua katika umaskini na kuleta maendeleo CHATO na taifa Zima kwa jumla wake.. kuhusu HOSPITALI kubwa, kidogo kuna kaupendeleo raisi magufuli alifanya, kwasababu moja, makao makao makuu ya mkoa wa Geita ni Geita mjini hivyo basi hospitali Ilibidi itengenezwe makao makuu ya mkoa, lakini hata hivyo bado hospital kutengenezwa kule sio dhambi since Chato ni sehemu ya mkoa wa Geita, na pia ilikua ni mpango wa serikali kuwapunguzia Safari watu Kagera watakafuata huduma za afya mkoani Geita.. chukua hii mzee geza HUWEZI KUWA KIONGOZI WA TAIFA UNAFANYA MAENDELEO MAKUBWA NCHI NZIMA ALAFU NYUMBANI KWENU WATU WANAKUFA NJAA, huo utakua ni uhanangwa, kila siku tunawacheka wakenya humu raisi wao Moi alivyokufa nyumbani kwao hakutengeneza hata kipange cha barabara ya lami na jeneza lake lilipekwa kwa chopa


Chato haikupendwlewa ni chizi pekee ndio utamuaminisha huu ujinga
Hehehehee umempa vidonge mujarab kabisa lkn huyu mzee ni mkaidi na anapenda ligi ngoja aje
 
Uwekezaji wake kipindi cha Magufuli ulitumia pesa za serikali bila kupitishwa na Bunge hilo liko wazi refer ujenzi wa uwanja wa Chato na majadaliano Bungeni!

Sasa ulitaka zitumike pesa za mtu binafsi hau , pesa zipi izo ambazo hazikupitishwa na Bunge leta ushahidi hapa na hata kama zilipitia wala hazikupitia cha muhimu investment imeonekana kumbuka hata pesa za manunuzi ya ndege hapo awalii CAG assad alisemaga hazikupita bungeni (haziko accounted)m bona izo huhojii
 
Hawa wanataka kuona Watz karibu milioni 40 wanaomlilia Magu ni wajinga, nchi nzima ilikuwa inajengwa, lami kila kona, masoko madaraja hospitali n.k lkn mzee alipojaribu kupeleka maendeleo na Chato kwa watanzania wenzetu watu hawataki, walitaka asipeleke maendeleo na kule walipomlea? Kwan watu tunasoma ili iweje kama co kuokoa Jamii inayotuzunguka kwa kutatua kero zao? Walitaka Chato imlee alafu iambulie patupu? Je wao wangeweza? Yani wapeleke maendeleo kote lkn kwao wapasahau!!!
Roho inaniuma sana watu wakipiga kelele eti Magufuli aliipendelea chato, sijui mbaguzi .. dah, wamesahau uongozi wa kikwete mpaka kumalizia ameifanya mkoa wa pwani kuwa ndio mkoa wenye idadi kubwa ya viwanda kuliko mkoa wowote tz
 
Sasa ulitaka zitumike pesa za mtu binafsi hau , pesa zipi izo ambazo hazikupitishwa na Bunge leta ushahidi hapa na hata kama zilipitia wala hazikupitia cha muhimu investment imeonekana kumbuka hata pesa za manunuzi ya ndege hapo awalii CAG assad alisemaga hazikupita bungeni (haziko accounted)m bona izo huhojii

 
Naombeni mnisaidie kuipitia hii article ya total KM's of paved roads in kunyaland


Teargas Tony254

[mention]The best 007 [/mention] [mention]ichoboy01 [/mention] [mention]Mgagaa na Upwa [/mention] [mention]Geza Ulole [/mention]

Mwenyekiti Ichoboy na wajumbe wako tunaomba mpitie taarifa hizi ili tujiridhishe kabla hatujatupia kitu kizoto

IMG_1960.jpg
 
[mention]The best 007 [/mention] [mention]ichoboy01 [/mention] [mention]Mgagaa na Upwa [/mention] [mention]Geza Ulole [/mention]

Mwenyekiti Ichoboy na wajumbe wako tunaomba mpitie taarifa hizi ili tujiridhishe kabla hatujatupia kitu kizoto

View attachment 1976556

Hawa jamaa ndio kila siku wanatutambia umu eti wake na almost 20k paved roads 😅😅😅
 
leta picha za Geita Town halafu mie nikulipe na za Chato wilaya! tuanze public facilities nishaonyesha hospitali, tawi la Benki na stendi za mabasi! Una zako ambazo zipo bora?


Tanesco Chato
E_lLqlkXoAo2kem



1.JPG


leta picha ya Tanesco Geita mjini!
We hujawahi kufika geita unadangaywa tu na wanasiasa wa upinzani unaondoka nayo .. kwanza, soko la kisasa, Machinjio ya kisasa.. hizo facilities zilitengenezwa Geita mjini na sio chato.. pia chato kulijengwa hospital kubwa tu ya mkoa, pamoja na jengo la Halmashauri. Pita hapa👇. Individual development level mjini Geita 👇. . Nilikuepo hii mikoa juzi tu naijua vizur, huna cha kunidanganya .. kwahiyo kwasasa najua nini kinaendelea, tembea bro usijifiche DSM pekee
 
[mention]The best 007 [/mention] [mention]ichoboy01 [/mention] [mention]Mgagaa na Upwa [/mention] [mention]Geza Ulole [/mention]

Mwenyekiti Ichoboy na wajumbe wako tunaomba mpitie taarifa hizi ili tujiridhishe kabla hatujatupia kitu kizoto

View attachment 1976556
Hahaha ndio wanatafuta kufikia 12k za paved roads. Ndio malengo ya nchi ati..
Hizi ni 10k km ambazo Uhuru amejenga. Total ni 21k km ya lami. Wivu wenu hautabadilisha ukweli huo.
 
[mention]The best 007 [/mention] [mention]ichoboy01 [/mention] [mention]Mgagaa na Upwa [/mention] [mention]Geza Ulole [/mention]

Mwenyekiti Ichoboy na wajumbe wako tunaomba mpitie taarifa hizi ili tujiridhishe kabla hatujatupia kitu kizoto

View attachment 1976556
Hyo article inabd itunzwe vizuri, kuna mtu itabidi apigwe na kitu kizitoo
 
Back
Top Bottom