Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nitajie wilaya nyingine Tanzania iliyopata upendeleo Tanzania kama Chato kipindi cha Urais wa Marehemu Magufuli, yaani imejengewe uwanja wa ndege wa Kimataifa, ikapewa ferry, ikaanzishiwa mbuga ya wanyama, ikajengewa uwanja wa mpira, ikajengewa soko la dhahabu, ikajengewa machinjio na soko la mnada la kisasa, ikajengewa ofisi ya Tanesco ya kisasa, Ofisi ya CRDB ya kisasa, ikajengewa stendi ya mabasi ya kisasa, chuo cha VETA cha kisasa, hospitali yenye hadhi ya rufaa ya kanda, mabarabara na mataa ya barabarani, nyumba za polisi n.k.! Mind you Chato ina idadi ya watu 365,000 vs watu 807,000 Geita Town (sensa 2012)! Wacha kufuru mzee!

Kusema kweli huyu baba alikuwa mbaguzi pia hii miradi ni mingi kupelekwa Wilayani badala ya mkoani. Mungu amrehemu huko alipo. Angejenga hii Geita kwenye vumbi la kufa mtu leo kungekuwa na Jiji la Geita baada ya Mwanza.
 
exactly!! ndo nachojaribu kuwafafanuliwa watu humu ndani! Na sijui ingekuwaje by 2025 kama angeendelea kuwapo madarakani. Halafu watu hawajiulizi mbona sipingi miradi ya Mwanza? Mwanza as a city deserved what it has got! Tembeleeni Kigoma town au Bukoba town au Musoma town ndo mjue nini maana ya Chato district kupendelewa!
 
Iko wapi ss hyo road yenye hadhi ya juu wkt ishachakaa kabla hata haijafunguliwa
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
Hio sio picha ya Nairobi expressway. Huoni magari tayari yanaitumia? Nairobi expressway bado haijaanza kutumika.
 
Nitajie wilaya nyingine Tanzania iliyopata upendeleo Tanzania kama Chato kipindi cha Urais wa Marehemu Magufuli, yaani imejengewe uwanja wa ndege wa Kimataifa, ikapewa ferry, ikaanzishiwa mbuga ya wanyama, ikajengewa uwanja wa mpira, ikajengewa soko la dhahabu, ikajengewa machinjio na soko la mnada la kisasa, soko la kisasa, ikajengewa ofisi ya Tanesco ya kisasa, Ofisi ya CRDB ya kisasa, ikajengewa stendi ya mabasi ya kisasa, chuo cha VETA cha kisasa, hospitali yenye hadhi ya rufaa ya kanda, mabarabara na mataa ya barabarani, nyumba za polisi n.k.! Mind you Chato ina idadi ya watu 365,000 vs watu 807,000 Geita Town (sensa 2012)! Wacha kufuru mzee!

ukiangalia muundo wa wilaya ya chato utakubaliana na mimi kwamba hizi investment zilikua sahihi kufanywa

chato imejitenga na mikoa yote miwili, yaani geita ni mbali na kagera ni mbali

huduma kama hizi kuwepo chato, kuna warahisishia huduma wananchi

huduma ambazo walitakiwa wasafiri umbali mrefu kwenda geita au kagera

isitoshe chato ni tanzania.
 
Wachawi hawapendi hii Nairobi expressway. Expressway haitawahi jengwa in unplanned city dar-is-a-slum.
tapatalk_1631793412919.jpg
 
Attachments

  • FBvWG9PXoAEj_PO.jpg
    FBvWG9PXoAEj_PO.jpg
    66.1 KB · Views: 20
  • FBvWHF-WEAAu-9f.jpg
    FBvWHF-WEAAu-9f.jpg
    24.4 KB · Views: 19
  • FBvWKKeWQAgfJtL.jpg
    FBvWKKeWQAgfJtL.jpg
    81.2 KB · Views: 22
  • FBvWKIKXoAIU_Z-.jpg
    FBvWKIKXoAIU_Z-.jpg
    56.3 KB · Views: 18
  • tapatalk_1633662068240.jpg
    tapatalk_1633662068240.jpg
    87.8 KB · Views: 15
  • tapatalk_1633661985160.jpg
    tapatalk_1633661985160.jpg
    83.2 KB · Views: 33
  • tapatalk_1633074242844.jpg
    tapatalk_1633074242844.jpg
    171.1 KB · Views: 18
ukiangalia muundo wa wilaya ya chato utakubaliana na mimi kwamba hizi investment zilikua sahihi kufanywa

chato imejitenga na mikoa yote miwili, yaani geita ni mbali na kagera ni mbali

huduma kama hizi kuwepo chato, kuna warahisishia huduma wananchi

huduma ambazo walitakiwa wasafiri umbali mrefu kwenda geita au kagera

isitoshe chato ni tanzania.
kwahiyo Mafia Island, Bukoba Town, Kigoma Town na Musoma Town hazijajitenga?

Hebu onyesha Chato imejitenga vp na Geita Town? Mbona isiwe Geita Rural Islands au Bukombe?
Screenshot 2021-10-16 141257.png
 
Kweli kabisa yani unamfananisha Magufuli na huyu mama mpika visheti?
Siku hz kila kitu bongo kinasuasua mpk umeme unasuasua.
Bullshit!
Halafu eti jitu pumbavu linamtetea huyu mama
Wewe wacha kutumia lugha chafu. Mama yupo vizuri
 
MY TAKE
Sikujua International school of Moshi ina mahusiano na KCMC, yaani ilianzishwa na foundation moja! Na sikujua KCMUCo ina chuo cha Pharmacy! Hongera zao maana hamna kitu kigumu (capital intensive) kama kuanzisha shule ya famasia!

Hicho chuo ni International, apo utakutana na wanafunzi kutoka mataifa mbalimbali kama Somalia, Kenya, Ethiopia, Zambia, Botswana, Nigeria, Sudan. Hapo nimemention wale ambao nliwahi kukutana nao binafsi. Tena ukija kwenye Orthopaedics ndio hamna chuo wala hospital hapa EAC na Kati inayoiweza KCMC na wanatumia German Technologies
 
Kinakaa hakijulikani labda hapa nchini! Hakitoi degree mpaka sasa nimepitia website yake!
 
Kinakaa hakijulikani labda hapa nchini! Hakitoi degree mpaka sasa nimepitia website yake!
Hii ni screenshot ya baadhi ya wanafunzi Bachelor of Science in Prosthetics and Orthotics (BSC.P/O)
event-201011f.jpg

Nitajie wilaya nyingine Tanzania iliyopata upendeleo Tanzania kama Chato kipindi cha Urais wa Marehemu Magufuli, yaani imejengewe uwanja wa ndege wa Kimataifa, ikapewa ferry, ikaanzishiwa mbuga ya wanyama, ikajengewa uwanja wa mpira, ikajengewa soko la dhahabu, ikajengewa machinjio na soko la mnada la kisasa, soko la kisasa, ikajengewa ofisi ya Tanesco ya kisasa, Ofisi ya CRDB ya kisasa, ikajengewa stendi ya mabasi ya kisasa, chuo cha VETA cha kisasa, hospitali yenye hadhi ya rufaa ya kanda, mabarabara na mataa ya barabarani, nyumba za polisi n.k.! Mind you Chato ina idadi ya watu 365,000 vs watu 807,000 Geita Town (sensa 2012)! Wacha kufuru mzee!

Hayo ni mawazo yako and ur entitled to your own opinion, hatuwezi wote kufanana mawazo na ndio maana kuna wapinzani na sheria inakulinda na inakupa uhuru wa kuwa na mawazo tofautii kwaiyo usitake tufanane kama wewe unaona alikua mbaguzi kupeleka maendeleo chato wengine na watanzania wengi hawaoni hivyo na ndio maana maza anaendeleza palepale alipoachia jpm, unasema alipendelea, kama kuna sehemu ilipendelewa hapa bongo ni dodoma kwa sababu investment inayofanyika huko sio ya kitoto mfano mdogo tuu international airport dodoma kwa sasa haina umuhimu wowote lakini inajengwa huko ilihali mikoa inayaongoza kupokea watalii wengi manyara na arushha hawana facility kama Iyo inayojengwa dom

Uzuri jpm hatokei dodoma angekuwa anatokea huko tusingepumua umu
 
Back
Top Bottom