Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wameshaishiwa hawa mkuu, Ile article ni ya moto sana. Waziri wao hakutumia zile data za kiupigaji za jamaa wa Gatundu Gang kina Tony254 na MK254
Data za serikali ya Kenya zinasema Kenya ina 21,000 kilometres of tarmack roads wakati Tanzania ina 13,000 kilometres of tarmack roads. Najua ukweli inauma lakini itabidi uzoee.
 
Kwahiyo kwa miaka michache ya Uhuru kajenga 10,000km ambazo ni nyingi kuliko marais wote wa Kenya na pengine ni rekodi ya Afrika
ndio. Uhuru amejenga barabara yenye urefu sawia na barabara zilizojengwa na marais wote watatu waliomtangulia.
 
We hujawahi kufika geita unadangaywa tu na wanasiasa wa upinzani unaondoka nayo .. kwanza, soko la kisasa, Machinjio ya kisasa.. hizo facilities zilitengenezwa Geita mjini na sio chato.. pia chato kulijengwa hospital kubwa tu ya mkoa, pamoja na jengo la Halmashauri. Pita hapa👇. Individual development level mjini Geita 👇. . Nilikuepo hii mikoa juzi tu naijua vizur, huna cha kunidanganya .. kwahiyo kwasasa najua nini kinaendelea, tembea bro usijifiche DSM pekee

Usilete picha za majengo binafsi mi naongelea rasilimali za nchi yaani za serikali kupelekwa Chato!
79337460_530487191014247_3820900870430654464_n.jpg

VS

FC4A1492.JPG

Hizi ni 10k km ambazo Uhuru amejenga. Total ni 21k km ya lami. Wivu wenu hautabadilisha ukweli huo.
Kwamba within 7 good years UHURU ametengeneza 10k km of paved roads, 😂😂😂, wacha we.. alafu wakoloni pamoja na marais wote wa kenya waliopita wanatengeneza 11km of paved roads.? 😂😂🏃🏃🏃 1963-2013.. bwahahahah .. bro ni kweli uyasemayo.? Wakenya bhana muache uongo
 
Hii ni wewe unasema au ndio article inavyosema?
Article inasema kwamba serikali imejenga 10,000 km of tarmack road lakini wanaongea kuhusu serikali ya Uhuru. Hawaongei kuhusu total km under tarmack. Unataka nikuletee ushahidi kutoka Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) kwamba Kenya ina 21,000 km of tarmack roads? Ushahidi huo upo ukiutaka nitakuletea chini ya masaa 24. Nakumbuka nikiisoma mwezi uliopita aidha kwenye economic survey report au kwenye rebasing report. Kama unataka hio data sema nitakuletea ila lazima niende niitafute kwanza ila ipo na niliisoma.
 
We hujawahi kufika geita unadangaywa tu na wanasiasa wa upinzani unaondoka nayo .. kwanza, soko la kisasa, Machinjio ya kisasa.. hizo facilities zilitengenezwa Geita mjini na sio chato.. pia chato kulijengwa hospital kubwa tu ya mkoa, pamoja na jengo la Halmashauri. Pita hapa👇. Individual development level mjini Geita 👇. . Nilikuepo hii mikoa juzi tu naijua vizur, huna cha kunidanganya .. kwahiyo kwasasa najua nini kinaendelea, tembea bro usijifiche DSM pekee

Ukiniletea article inayosema kenya ina japo 15k za paved roads naondoka Jf.
Report ipo. Najua nikikuletea utaruka story na kusema KNBS inapika data. Nitapost kesho. Nilikuwa nishaisoma ila itanibidi niitafute hio report kwenye folder ya computer yangu. By the way nitapost kesho lakini najua utaruka na kusema huamini data hio licha ya data hio kuwa ni official data kutoka serikali ya Kenya.
 
Wewe je unaamini kwamba Uhuru kajenga kms hizo?
 
Kwamba within 7 good years UHURU ametengeneza 10k km of paved roads, 😂😂😂, wacha we.. alafu wakoloni pamoja na marais wote wa kenya waliopita wanatengeneza 11km of paved roads.? 😂😂🏃🏃🏃 1963-2013.. bwahahahah .. bro ni kweli uyasemayo.? Wakenya bhana muache uongo
Ndio within 9 years Uhuru amejenga 10,000 km of tarmack. Najua hamuamini lakini sisi sio malazy kama nyinyi. Ama wacha nitafute hio report niilete saa hii japo itanichukua muda kidogo. Munipe dakika 30 nitafute hio report ya KNBS iliyotolewaa mwaka huu.
 
Usilete picha za majengo binafsi mi naongelea rasilimali za nchi yaani za serikali kupelekwa Chato!
79337460_530487191014247_3820900870430654464_n.jpg

VS

FC4A1492.JPG

oi achana na hizo mambo/debate.. my comment kwenye hizo picha mbili.. moja zimejengwa na magu maeneo mbalimbali sio chato tu design kama hio... hio nyingine zimejengwa kipindi cha marais wengine.. ulitaka waibomoe wajenge upya mumlalamikie tena? he tried his best kuleta maendeleo maeneo yote nchini!

anyway sion umuhimu wowote wa hio debate mnayoendelea nayo.. mtu mwenyewe ashakufa.. so achanane na hayo mambo
 
Report ipo. Najua nikikuletea utaruka story na kusema KNBS inapika data. Nitapost kesho. Nilikuwa nishaisoma ila itanibidi niitafute hio report kwenye folder ya computer yangu. By the way nitapost kesho lakini najua utaruka na kusema huamini data hio licha ya data hio kuwa ni official data kutoka serikali ya Kenya.
Ila kwa kusema UHURU alitengeneza km za lami 10,000 ndani ya miaka saba ni uongo, sahii nakubali nyie huwa mnapika data
 
Wewe je unaamini kwamba Uhuru kajenga kms hizo?
Sijui. Siwezi kuwa 100% sure. Lakini naamini serikali yetu, mbona serikali idanganye? Itafaidika vipi kwa kudanganya? Anyway nimeamua wacha nitafute hio report ya serikali kuu iliyotolewa mwezi uliopita ninaiweka baada ya dakika chache.
 
Ndio within 9 years Uhuru amejenga 10,000 km of tarmack. Najua hamuamini lakini sisi sio malazy kama nyinyi. Ama wacha nitafute hio report niilete saa hii japo itanichukua muda kidogo. Munipe dakika 30 nitafute hio report ya KNBS iliyotolewaa mwaka huu.
Sawaa tunasubiri
 
Back
Top Bottom