Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo ana bifu zake na Magu, wkt mwingine huwa anaongea utumbo kama co msomi, naona mama ameanza kutembea na legacy kwa vitendo, so wale haters wa mzee baba nawapa pole yao
fanya hivi pita pembeni The head of UN Habitat planners wakuu wa sustainable cities! utumbo unaongea wewe! Mkamegeane Sukumaland yani Geita, Mwanza, Shinyanga na Simiyu! Msiguse ardhi ya Kagera au Kigoma!
 
The most beautiful bridge in Africa, The Tanzanite cable stayed bridge
tapatalk_1634212385674.jpg
tapatalk_1634212395688.jpg
tapatalk_1634212252836.jpg
tapatalk_1634212223797.jpg
 
Tatizo unakuja na negative mentality unashindwa kuona point. Mi naongelea kumuenzi inavyopaswa! Hiyo mausoleum iliyojengwa haijakaa vizuri! hamna chuki hapa!

BTW huwezi kunilazimisha kumpenda unayempenda kila mtu ana opinion yake though opinion yangu kwenye hii nyumba ya kaburi la Magufuli ililenga kujenga.

This is Kenyatta's mausoleum
30589655322_ae51d2ba1a_b.jpg




Tom Moboya's mausoleum
DhUmJvzXUAABEX_




Oginga Odinga's mausoleum
dsc00415.jpg




Nyerere's mausoleum
IMG_3621-1024x768.jpg




Nkrumah's mausoleum
2070760188-2021-jan-19-15-18-59-000000-Kwame-Nkrumah-Mausoleum-1.jpg




Mandela's Graveyard





VS


Magufuli's mausoleum
2778275_IMG-20210517-WA0089.jpg




MY TAKE
Well wacha niambiwe namchukia ila that thing for Magufuli is ugly! No creativity!

Hii kitu





MY TAKE
Aisee, hii haijakaa sawa!

Andamana tu kama vipi or kunywa sumu🤗😂
 
Miradi ya governors na mikopo wapi na wapi mzee, umechanganyikiwa eee..
Hapa tunataka kuwaonyesha km serekali hku governors ndio wanafanya kazi kubwa sana manake hakuna serekali kuu itakuja ikujengee barabara, stadiums(county level), recreational parks,health centers,markets e.t.c yani hyo ni kazi ya governor na wala hawakopi ni ule ule mgao wa kutoka serekali kuu
Sisi tz tunataka raisi ndiyo afanye kazi kubwa kuliko yoyote kwa sababu kwa kufanya hivyo anakuwa kielelezo cha uchapa kazi
 
Umekasirika kuona ya kwamba hela yetu ina nguvu east africa

Mwenzako Lusematic amekimbia ndio kakutuma uje kumsaidia sio..

Dola ya marekani ina purchasing power karibia ulimwengu mzima, upo mzee..
Leo nataka niwatoe matongo tongo aisee, kw east africa ni hela ya kenya popote unatinga na ksh1000 hapa east africa na una kula vinono mpka raha
Wewe boya hata ujui nini tunazungumzia muulize Tony akueleweshe naona gundi imekuvuluga akili
 
Back
Top Bottom