Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna kitu katika somo la economy linalosema a governmet(feed its people)..
Rudi shule tena mzee au wewe utuletee siku tz serekali imelisha watu
Tz kukiwa na upungufu wa chakula baadhi ya maeneo serikali inapeleka chakula kwa hela yake from national food reserves to wananchi husika. Pia uarabuni ni jangwa miaka yote hatujawahi kusikia wanakufa njaa.
 
Umetoka mtupu
Yani umeshidnwa ujibu nini, nenda mwana kwenda yani hapa kwangu sio rahisi rahisi ki hvo..
M mtu naenda naye kulingana na uhalisia wake, we ulikuja kijuaji nikakuweka sawa sasa naona sai unahaha
kichwa box mzani wako wa ubongo bado mdogo sana,hata unachokisoma huelewi kinamaanisha nini,
 
Hii ni Tukana sawa. Wajinga wachache kutoka Tanzania wanaopenda kukejeli Turkana wafahamu hilo.


A1 Road, Kainuk, Turkana county
245280197_718336392433578_1540470875847958325_n (1).jpg

Cc Sama boy 255 Lusematic Trubarg ichoboy01 joto la jiwe
 
Kwangu mimi na naamini hata kwa watanzania wengi siwezi kusema Magufuli ni bora kuliko Nyerere. Hata Magufuli mwenyewe alikuwa anajaribu kumuishi Nyerere na alikuwa ni mfuasi wa sera za mwalimu za maendeleo. Nyerere na wenzake wa wakati huo wameipambania sana nchi hii (na hata afrika) kuanzia struggle for indipendence hadi kuijenga nchi kijamii/kiutamaduni, kisiasa na kimaendeleo kwa ujumla. Itoshe tu kusema Magufuli alikuwa sub set ya Nyerere katika baadhi ya mambo aliyoyasimamia.
Chief uko sahihi kabisa na The Best yuko sahihi pia. Nafikiri kuna tofauti kubwa kati ya hawa wawili.
1. Nyerere ni Genius mwenye kufiri vyema na kuona mbali, pia Ugenius wa Nyerere utauona haswa pale mtakapohojiana lazima akutoe kwa knockout. Shida ya Nyerere ana huruma ndio maana mambo mengi yalibakia kua just ideas.
2. Magufuli sio Genius kihivyo isipokua ana kichwa kizuri kwa kulearn quickly na kuhifadhi kumbukumbu nyingi kwa ufasaha. Uzuri wa Magu ni kuprocess information alizonazo na sana sana ni information alizopata kutoka kwa Nyerere na ndio maana Magu ni risk taker kwakua yeye kazi yake ni kuprocess idea kutoka kwa Magenius anaowakubali huku Nyerere akiwa priority yake na ndio maana anapofanya jambo analoamini liko sahihi hana huruma kwa yeyote na hata yeye myenyewe pia hatajihurumia pia. Kwa ufupi Magu ni Software ilhali Nyerere ni developer/coder.
So nyerere angeorodhesha advantage na disadvantage za kila idea aliyoitamka, Magu angefanya tofauti na tulivyoshuhudia.
 
Hi ya madarasa sio mbaya lakini Kwa elimu ya sasa kuna kila namna inabidi kuwe hata shule za zone zenye kila facilities from libraries , labaratoies pia curriculum inabidi Morden kimtindo ICT inabidi tuanze kusoma kuanzia primary huko hili kujenga awareness. Ukiwa mdogo unaweza kuelewa mambo kirahisi sana Kwa sababu kichwa hakina mambo mengi
Good idea..we need ICT intergration kuanzia primary school.....so we need change of syllabus ...pia we need zonal schools ziwe na sport academies kwenye zonal najua hio plan ipo
 
Good roads without food. Maendeleo ya watu vs Maendeleo ya vitu
Kwani wewe huoni kwamba barabara mbaya pia ilikuwa inachangua ukali wa baa la njaa? Barabara ambayo haipitiki na inachukua siku nne kutoka Nairobi hadi Turkana saa hii inachukua chini ya masaa 18 kutoka Nairobi hadi Turkana.
 
Good idea..we need ICT intergration kuanzia primary school.....so we need change of syllabus ...pia we need zonal schools ziwe na sport academies kwenye zonal najua hio plan ipo
Kujeni mpate maarifa kutoka kwa the most ICT savvy country in Africa as ranked by many international organisations. Kenya kwa ICT hapa Afrika inapewa heshima sana.
 
Hizi roads zote ziko chini ya DMDP kila mwaka kutakuwa na maeneo mapya yatakayoendelezwa.

Unajua ile awamu kuna watu hata walipokuwa wakitaka kutaja majina yao ni LAZIMA kwanza waanze na jina la Hayati. Mfano mtu alikuwa anaweza kusema “kabla ya yote kabla sijajitambulisha, napenda kumpongeza Rais wa Awamu ya Tano Mh John Joseph Pombe Magufuli kwa juhudi zake kwa kuniwezesha kuwa hapa, mimi naitwa The Best 007 Mzalendo” sasa hii hangover bado ipo kiasi ambacho watu hawataki hata kushirikisha akili zao kidogo kila kitu bado wanarefere kwa hayati. BTW pionier wa DMDP ni JK, JPM alijikuta yupo tayari hatua za utekelezaji, nadhani kipindi chake labda hata mradi usingepita sababu pesa zinatoka kwa mabeberu…..ila sasa sifa na utukufu vyote vinaenda kwake……it’s very absurd.
 
Point yangu ni kuwa Turkana inabadilika na maendeleo yanazidi kufika Turkana sio Nairobi tu. Saa hii wana barabara ya Lami na pia wana stima.
Huwa mnanichekesha sn mnaposema Turkana imepata road wkt hiyo ni highway inatoka county flani na kupita counties kadhaa.
 
Point yangu ni kuwa Turkana inabadilika na maendeleo yanazidi kufika Turkana sio Nairobi tu. Saa hii wana barabara ya Lami na pia wana stima.

Kwaiyo wewe maendeleo kwako ni kukopa hela china na kujenga barabara na kuweka street lights Vijijini kwenye ufukara wa kufa mtu, how many people in those areas do even posses cars
 
Back
Top Bottom