Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Linyumba namna hiyo ndo mausoleum? hataa huko ni kukosa ubunifu kaka! wangejenga kaburi la kawaida ila marble za maana zikawekwa fresh wakaweka green grass and flowers in the surrounding! sasa hapo makaburi ya nduguze yako wapi?

View attachment 1972933

MY TAKE
We need styles
Dodoma palipangwa kuwe na style hiyo ila marais walikataa, hata Magu pia alikataa. Na alilisema hilo miezi michache kabla ya kufariki.
 
Babu umeelezea kiistarabu sio kama yule mkuu mwingine,si vibaya ulivyofafanua ila nionavyo etihad airlines katika magiant ya usafirishaji wa angani na wenyewe wapo,now tuna airbus 4 ambazo zinaweza kusafiri direct to abu dhabi,etihad bado inafika mataifa mengi ya europe binafsi naona hiyo route si mbaya kihivyo ikiwa hata sasa hivi ukibook trip ya dar kwa etihad kutokea europe wanakuuzia ticket ila ukifika abu dhabi wanakuunga ethiopia au wakulete hadi nbo then kq ndio ikulete dar,kia au znz!siamini trip 1 au 2 kwa wiki to abu dhabi kama kutaitereresha emirates au qatar,uwanja wetu una vigezo vyote vya transit kubwa, kama ushafika jkia au bole airport most of passenger ni wacongo,nadhani kwa africa hivyo viwanja wacongo ndio wanaongoza transit now tuna ndege 1 tu ya direct to europe,atcl inaanza safari ya congo unaonaje wale wacongo tukawa tunawavuta dar kwa atcl then wanaunga atcl hiyo to abu dhabi then huko wanaunga tena,tuna ndege now sidhani kama kuna haja ya kuhofia route,mimi nishaiona kwa macho yangu ethiopia inapiga route ya vienna na warsaw sehemu ambazo utarajii,katika maisha hakuna kuogopa binafsi upungufu wa etihad kutokuja dar naona ni opportunity nzuri kwa atcl kupiga hiyo route
Eti mna airbus nne? Tangu lini?
 
Linyumba namna hiyo ndo mausoleum? hataa huko ni kukosa ubunifu kaka! wangejenga kaburi la kawaida ila marble za maana zikawekwa fresh wakaweka green grass and flowers in the surrounding! sasa hapo makaburi ya nduguze yako wapi?

View attachment 1972933

MY TAKE
We need styles
Kweli kabisa. Hii ndio style yenye hadhi ya Raisi. Ile siyo ofisi mpaka kuweka ma aluminum.

Tumezingua sana hapa.
 
Kaka, sina shida kabisa na mapenzi yako na JPM, ni hako yako kabisa kumpenda utakavyo, ila mapenzi yasikuzidi ukashindwa kuchekecha facts…..documents za DMDP zipo online zitafute uone na uzisome…..utaona ni lini mradi uliandaliwa na hatua za utekelezaji wake…..BTW phase 2 inaanza hivi karibuni, hii nayo wapenzi wa SSH hutawaambia kitu akistaafu……watakwambia “toka Mama yetu haondoke hatuoni barabara ya lami tena” Watanzania are very fun people sometimes
Unaongea kiushabik na sio fact...ni ukweli usio pingika kuwa mwenda zake alikuwa na commitment ya hali ya juu , mfano ata ujenzi wa bwawa la umeme ulilet misukosuko lakin yeye akasema litajengwa angalia lilipo fikia, so huwez sema mtu kwa kupenda kilicho bora...na Maraisi wote yani walio pita (ukimtoa Nyerere) na wajao benchmark yao ni JPM mpka tutakapo pata standard nyingine
 
Dodoma palipangwa kuwe na style hiyo ila marais walikataa, hata Magu pia alikataa. Na alilisema hilo miezi michache kabla ya kufariki.
Hii si kaburi la serikali (hoja ilikataliwa) la familia si amezikwa makaburi ya ukoo? ama? Kiufupi with my humble opinion kaburi la mwendazake limegharimu fedha nyingi na hamna aesthetic. Watu wa hearse wanapaswa kujiongeza! Tuna stones nyingi za kisasa from tanga stones to mahenge stones! Yaani plenty! Umeona paa lake? Huwa naambiwa mjuaji lakini 🙄!
 
Eti mna airbus nne? Tangu lini?
Bishana na gazeti lenu sasa.
Screenshot_20211013-134941_Opera.jpg
 
mbili zingine zaja 2023! Order has been placed already! Zitagonga 10 hivihivi bila kuamini.
So mna ndege ngapi mpya mliyonunua in the last 5 years zilizowasili tayari? Zinakaribia kufika kumi sasa sio?
 
Hii si kaburi la serikali (hoja ilikataliwa) la familia si amezikwa makaburi ya ukoo? ama? Kiufupi with my humble opinion kaburi la mwendazake limegharimu fedha nyingi na hamna aesthetic. Watu wa hearse wanapaswa kujiongeza! Tuna stones nyingi za kisasa from tanga stones to mahenge stones! Yaani plenty! Umeona paa lake? Huwa naambiwa mjuaji lakini 🙄!
Naunga mkono hoja. Tena ikiwezekana, kiwekwe kitu ambacho kitawanya watu kwenda mara kwa mara, like a library or something.

Isiwe sehemu ya kwenda kipindi kumbukumbu ya kifo chake tu.

Geza Ulole unaweza ongezea nyama hapa.
 
Alafu mnaifanyia nn hyo 7.6%!??
uko na akili finyu sana. gdp size in general. and gdp/population ie. gdp per capita is directly propotional to the influence, sophistication, development and quality of life in a country. take the case of US for instance, or the modern china, or even SA in africa
 
Naunga mkono hoja. Tena ikiwezekana, kiwekwe kitu ambacho kitawanya watu kwenda mara kwa mara, like a library or something.

Isiwe sehemu ya kwenda kipindi kumbukumbu ya kifo chake tu.

Geza Ulole unaweza ongezea nyama hapa.
nadhani its ohk sehemu ambaye inatembeleka na kupumzika na hata kujisomea..
 
Back
Top Bottom