Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakuu pande za uswazi Yombo, yn ni lami tupu, leo nimetembelea uswahilini aisee hatari ila kuna baadhi ya roads zimesimama wakazi wanasema keshakufa baba yetu hakuna kitakacho endelea [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
IMG_20211012_185423_648.jpg
IMG_20211012_185321_462.jpg
IMG_20211012_185244_895.jpg
IMG_20211012_185056_014.jpg
 
hakuna mkoa utakaokuwa na upungufu wa madarasa [emoji2956].. asante Mama

kwenye hili vip? kenya shule zote madarasa yanajitosheleza? au ndo tunaenda kuwachanjia mbuga wabaki kushindana na uganda

wakenya mjue kuwa pesa ipo tayar, kilichobaki ni kutumiwa
Wao pesa ya covid wamegawana wanasiasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
wazee ishu ya borders huko baharini kenya vs somalia.. so kenya imekuwa landlocked au kuna kaspace wameachiwa

kama imekuwa landlocked, ngoja tufanye mpango na somalia tuwe na port alliance[emoji23][emoji23] ushirikiano na somalia[emoji1666]

afu lamu & mombasa ports zao zitakuwaje sasa.. ah ningekuwa rais somalia ningeamza kuwa na nuclear weapon kuwashughulia wakenya huko kwenye mipaka baharin
 
Magufuli alishakufa corona na amezikwa chato hatutaki ushahidi mwingine [emoji23][emoji23]
Kilio chako hakitasaidia chochote mana Magu alishapita na ameacha impact kubwa inayoitesa nchi yenu leo mpk miaka 100 ijayo so now muhangaike na legacy[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawa tunaenda nao bampa to bampa mpk waondoke wote humu ndani tubaki pekeetu tupeane vitasa, niligindua kwamba wakunya ili waelewe inapasa uende nao kichizi chizi vile wao wako, jamaa co wastaarabu kabisa, hawawezi ku debate kistaarabu, so tunapiga panapouma hata kule twitter mwendo ni huu huu vitasa tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Staili yako ya KataFunua wakunyaland nimeipenda
 
wazee ishu ya borders huko baharini kenya vs somalia.. so kenya imekuwa landlocked au kuna kaspace wameachiwa

kama imekuwa landlocked, ngoja tufanye mpango na somalia tuwe na port alliance[emoji23][emoji23] ushirikiano na somalia[emoji1666]

afu lamu & mombasa ports zao zitakuwaje sasa.. ah ningekuwa rais somalia ningeamza kuwa na nuclear weapon kuwashughulia wakenya huko kwenye mipaka baharin

bahati yao kuna kaspace wameachiwa.. thou somalia didn’t fully get what they fought for and kenya took something less than what they wanted before
IMG_2317.png
 
Back
Top Bottom