The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Maneno 10 ya mkunya chukua moja ulichunguze.Qatar sio first World Country, next time think before you post anything please![]()
Maneno 10 ya mkunya chukua moja ulichunguze.Qatar sio first World Country, next time think before you post anything please![]()
Tatizo la njaa ni la muda tu. Jinsi tunavyozidi kukuwa kiuchumi ndivyo tunavyozidi kupunguza njaa na umasikini. Baada ya miaka kumi hutasikia tatizo la njaa Kenya.Tatizo lenu Kenya hakuna kipya. Ninawahurumia sana. GDP yenu imeshindwa kabisa kuondoa tatizo la njaa!?
Tumepanga hiyo Kenya iwe part ya United Republic of Tanzania. Wewe umasemaje!?
Wakenya ni taifa la kipumbavu sn wanaopenda kujiona wako vizuri wkt ni mafukara wa kutupa, sasa waliona aibu gn kuomba kuchezea Tz na wkt ndio karibu pia mazingira yanawa favour? Wana roho mby na uchawi wa roho umewakaba ndio maana wanazidi kuungua na kuwa weusi kila siku.
Nimekimbia, situlii mimi 😂 😂 😂 😂 😂 😂 🏃♂️🏃♂️🏃♂️Tulia anakuja![]()
Kwani wewe unapofikiria Human development huwa unafikiria nini? Tuanzie kwenye education and research kwanza kabla hatujaenda kwingine what does Qatar has to show off on its human development in this specific area?Nimekuumbua ulipo sema Qatar has one of the lowest HDI sasa unatapatapa ili kujikomboa, najua hampendi aibu![]()
![]()
![]()
![]()
tangu lini United Nation waka rank nchi? they only pick data from IMF or World bank rankings or any reputable source in order to inform their decision making, weka hiyo link where UN hjas ranked Qatar as a developing nation, na ni which year?, weka sasa hivi, nisome, hii ya investopedia ni website tu ume post, hakuna taarifa kama hiyo.., have clicked it, nothing.., I follow investopedia coz I am a trader, I read a lot from them and several others.,
Umechelewa, huko nmetoka., wewe tuelimishe kile unacho jua..,Kwani wewe unapofikiria Human development huwa unafikiria nini? Tuanzie kwenye education and research kwanza kabla hatujaenda kwingine what does Qatar has to show off on its human development in this specific area?
Hii inaenda parallel na flyover ya Uhasibu.
,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Siasa zimeanza kushika moto, wheelbarrow ni ya wafuasi wa Ruto, chama ni UDA, nembo ni wheelbarrow 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Ma flyover ya Kenya ndo yamejengwa hapo, tofauti ni yakwetu yapo two in one.hii kaka ni level nyingin..pillars zakutosha...ile ya chang'ombe nguzo ni mbili au tatu ila ilo tuta
nirefu sna wamekwepa garamView attachment 1965537
Akili yako imeishia kwenye google tuu kumbe



Hapa pako hivyo hivyo unavyopaona, hakuna lipstick hapo, patamu sana hapo, nilipita nikajifeel kuongeza umri wa kuishi aiseee, waafrika tupambane kupendezesha miji yetuUbungo eti![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()


Ngoja nkiipata.Oya tutafutie mimi sikuiona![]()
Anakwambia Nigeria kuna kelele mno yani unakuta mtaa una kelele kichizi kwasababu wapo wengi mno alafu mazingira hovyo.Oya tutafutie mimi sikuiona![]()
Rangi ya road chini apo ndo inaonesha kwamba ni Nairobi tu apoYou know what time it is. View attachment 1965778View attachment 1965779




