Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sina ubaya napita tu🤣🤣🤣

images (18).jpeg


images (19).jpeg


images (20).jpeg


images (21).jpeg


images (22).jpeg


images (23).jpeg


images (24).jpeg
 
Anakwambia Nigeria kuna kelele mno yani unakuta mtaa una kelele kichizi kwasababu wapo wengi mno alafu mazingira hovyo.
Haaa nimeuona huo uzi [emoji1787][emoji1787]nigeria ni bomu la nuclear la africa nchi imeshindikana ile ,, litalipuka siku yoyote
 
Saidia kilaza mwenzako kuleta facts humu, kama hauna fyata, pita kimya kimya kama wenzako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kama wewe ni jobless tafuta kazi ya kufanya na kama una kazi bila shaka utaishia kusurutizhwa milele na kupokea low/local salary
 
Back
Top Bottom