Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

??
my take: sio kwa nia mbaya.. huyu waziri aache kufanya mambo mitandaoni ili kutaka kusifiwa mitandaon
Huyo hamna kitu amejawa na tamaa na sifa za kijinga, ni mpumbavu na anayemtetea pia inabidi ajitathmini.
 
The only picture which you caton capture the whole city is this..sio kwa uchafu huuuView attachment 1965039
compare the two🤣🤣🤣🤣

2949914_Screenshot_20211002-181837.jpg
 
Kaka ninarudia kusisitiza kwamba ni Bora ukaheshimu utalaamu, jaribu kubaki katika eneo lako ulilosomea, wacha kuokotezaokoteza reports na kuhisi unauelewa mpana katika eneo la Afya, hata sijui Kama unajua hatua mbalimbali zinazopitiwa hadi hizo research reports zikubalike.

Kaka hili eneo la Afya ninahisi hulijui isipokua unajisomea vijarida mbalimbali tu, kuwa makini Sana na "partial knowledge".

Tofautisha Kati ya "Natural immunity na "hard immunity", ninahisi unachanganya Kati ya hivi vitu viwili.

Tofautisha Kati ya "Active immunity vs passive immunity"

Ukizungumza habari ya "Natural immunity", hata chanjo zinakinga kwa kuitegemea "Natural immunity".
Acha kujidhalilisha, kwa kusema Medrxiv (Yale Universty) ni kijarida.
 
Wakenya ni taifa la kipumbavu sn wanaopenda kujiona wako vizuri wkt ni mafukara wa kutupa, sasa waliona aibu gn kuomba kuchezea Tz na wkt ndio karibu pia mazingira yanawa favour? Wana roho mby na uchawi wa roho umewakaba ndio maana wanazidi kuungua na kuwa weusi kila siku.
Huo weusi ndio tuutakao, wewe endelea kujichubua ngozi na MO LOTION uwe kama wazaire! 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Tatizo la njaa ni la muda tu. Jinsi tunavyozidi kukuwa kiuchumi ndivyo tunavyozidi kupunguza njaa na umasikini. Baada ya miaka kumi hutasikia tatizo la njaa Kenya.
Wacha blabla...kwani njaa kwenu imeanza jana?kma mko 50mil na gdp 100 meshindwa kutoa njaa....ndio mtaweza miaka kumi ijayo?
 
Back
Top Bottom