Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ligi yetu imepata udhamini mpya, ila kuna huu ufala wa majina, mwanzo ilikuwa inaitwa Vodacom premier league, leo itaitwa NBC premier league ni upuuzi sn, kwnn tusiitafutie jina hii league? Mfano tuiite hata shamba la bibi pasipo hata kuiita league? Huu ujinga unachangia kuipotezea umaarufu ligi yetu inayokuwa kila kukicha. Viongozi hawaoni kuna sababu ya kuipa jina ligi yetu?View attachment 1964261

kumbe na wew umeiona hilo bango tumepost mda mmoja
 
Ligi yetu imepata udhamini mpya, ila kuna huu ufala wa majina, mwanzo ilikuwa inaitwa Vodacom premier league, leo itaitwa NBC premier league ni upuuzi sn, kwnn tusiitafutie jina hii league? Mfano tuiite hata shamba la bibi pasipo hata kuiita league? Huu ujinga unachangia kuipotezea umaarufu ligi yetu inayokuwa kila kukicha. Viongozi hawaoni kuna sababu ya kuipa jina ligi yetu?View attachment 1964261

ni kawaida mkuu.. ndo moja ya masharti ya mkataba.. ili kuibrand jina la hio kampuni
 
kumbe na wew umeiona hilo bango
Tuna viongozi wasioona mbele, hii ligi inahitaji jina lake la kipekee, na sio kila mdhamini akija basi jina linabadilishwa, watu ambao tayari wameshaijua VPL kesho hawatolisikia hilo jina bali ni NBCPL ni upumbavu wakati kuna majina yetu mazuri ya kiswahili yanayoweza kuipatia umaarufu mkubwa ligi yetu.
 
How many people are in darslam and how many people use brt daily???Darslam have running sgr while Nairobi have running commuter rail with sjr project almost done utaniambia nini???
We famba Dar Ina watu wengi kuliko mji wowote hapa EA zaidi ya watu milioni sita, BRT pekee Ina basi 210 . hizo hapo ni basi 70 zimeongezwa last three months, kwa siku ni maelfu ya abiria wanatumia hizo buses, and what you don't know Dar also has commuter rail👇. And guess what hizi zote BRT system pekee Iko na phases 6 .. phase 1 is done, phase 2 is U/C, an anytime soon we are going to start phase 3&4 together.. DSM BRT na commuter rail tu Hadi vivuko na boti vinatumika kama vyombo vya usafiri . Dar sio size yenu nyie wasenge
 
Nyerere alisema ili nchi yoyote iweze kuendelea inahitaji Mambo 4
1)Watu
2)Ardhi
3)Siasa safi
4)Uongozi bora

Africa tatizo kubwa ni watu, sisi waafrika ni wavivu Sana kufikiria, tunapenda kuwatupia lawama wazungu hata Pale ambapo hawahusiki, sababu kubwa ni kukimbia jukumu kubwa la kufikiria ufumbuzi wa matatizo yetu, tunapenda "shortcuts" za maisha, ndio sababu tunakimbilia katika nyumba za ibada na kwa waganga kwenda kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya kisayansi.

Mkuu things have changed a lot kwa upande wa watu, individuals wamepiga hatua sana..
I see Greg areas kwenye siasa safi na uongozi, we have a lot of wrong people in wrong jobs, we have a long way to go.
 
ni kawaida mkuu.. ndo moja ya masharti ya mkataba.. ili kuibrand jina la hio kampuni
Si kwasababu tunawadekeza unadhani wao watafanyeje? Lkn tukiwa na msimamo tutaipa jina hii ligi na mdhamini atabaki kuwa mdhamini na kila mtu atajua, pale England ligi yao inaitwa EPL japo kuna mdhamini mkuu Barclays, kule Spain ni La liga hata iweje haibadiliki, Germany ni Bundesliga haibadiliki, sasa cc tunakwama wapi kutafuta Identity? Hili nalo mpk tusubiri kuambiwa na wazungu mkuu?
 
We famba Dar Ina watu wengi kuliko mji wowote hapa EA zaidi ya watu milioni sita, BRT pekee Ina basi 210 . hizo hapo ni basi 70 zimeongezwa last three months, kwa siku ni maelfu ya abiria wanatumia hizo buses, and what you don't know Dar also has commuter rail👇. And guess what hizi zote BRT system pekee Iko na phases 6 .. phase 1 is done, phase 2 is U/C, an anytime soon we are going to start phase 3&4 together.. DSM BRT na commuter rail tu Hadi vivuko na boti vinatumika kama vyombo vya usafiri . Dar sio size yenu nyie wasenge

that old wagon the commuter your telling me?dar labda Mombasa mzee
 
Tanzania kwa ujumla ni nchi nzuri Sana hapa Africa, ukiacha vitu tulivyobarikiwa Kama madini, ardhi yenye rutuba na maziwa makubwa, Nyerere alijenga misingi imara ya umoja, amani, mshikamano, nidhamu na upendo miongoni mwa raia, tunaishi kwa amani na utulivu licha ya kwamba nchi yetu ni kubwa na Kuna makabila mengi. R.I.P JK Nyerere
Mna hayo mambo yote ile umasikini bado ni tatizo kubwa huko kwenu? Huoni hicho kinaya?
 
In a city with 7m+ people Hamna express way ya maana,hamna ata superhighways,Hamna ata malls za maana, universities za maana za kutajika Hamna,your national airline ikifika mbali ni Mumbai,world organizations hq za maaana Hamna!!!alafu mnapiga kelele humu hivi????
Atc inaenda mpaka Guanzhou ona jinsi ulivyokuwa hujui habari za Tz, commuter rail zipo on 3 lines na mpaka hapo i am 100% sure kuwa hujui chochote kuhusu tz ila unahadithiwa na asiyejua.
 
Is that old wagon the commuter your telling me?dar labda Mombasa mzee
We maku usinikimbie kwenye point wew, umeleta bla bla zako kwamba eti commuter rail yenu ni sawa na BRT system yetu tu (vyenye zinasafirisha abiria), kwanza nikuulize mmeingiza behewa ngapi za hiyo commuter rail yenu unayoipigia kelele hapa, Ili tupime ni mfumo gani wa usafirishaji unachochea uchumi.? Nikakuongeza kwamba sio tu BRT hata hizo commuter rail tunazo, na sio havyo tu na vivuko tunavyo, acha kujitia ukichaa eti unikwepe, huwezi kunikwepa Mimi we punguani..
 
Back
Top Bottom