Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_1635.jpg

IMG_1634.jpg
 
Sio mama Samia pekee, zaidi ya 98% nchi zote duniani wanachanja, wote hao ni wajinga?.

Mkuu katika soko la dawa duniani, market share ya Africa ni chini ya 2%, kamwe hakuna makampuni yoyote makubwa ya dawa yenye kulenga soko la Africa, ndio sababu yanatoa kibali cha kutengezwa ,"Generic drugs" India ili tuweze kuzinunua
 
watu wana-mentality za ajabu sana eti makampuni ya kutengeneza chanjo yanataka kufanya biashara as if tunaweza ku-afford hizo dawa sisi kapuku! Mpaka sasa dozi zote zimetolewa bure kupitia misaada!
 
Sio mama Samia pekee, zaidi ya 98% nchi zote duniani wanachanja, wote hao ni wajinga?.

Mkuu katika soko la dawa duniani, market share ya Africa ni chini ya 2%, kamwe hakuna makampuni yoyote makubwa ya dawa yenye kulenga soko la Africa, ndio sababu yanatoa kibali cha kutengezwa ,"Generic drugs" India ili tuweze kuzinunua
Wewe ndio ulikuwa unasema chanjo ni mbaya kwa sababu Magufuli alikuwa anasema chanjo ni mbaya. Sasa mama anasema chanjo ni nzuri sasa pia wewe umebadilika na kusema chanjo ni nzuri. Kweli wewe ni CCM damu. CCM wakisema uruke kutoka ghorofa la ishirini nadhani hutasita. Chukua msimamo. Aidha chanjo ni nzuri au ni mbaya amua kitu kimoja usitapetape.
 
Acha kumlisha maneno mwendazake mzee tony, hakuna mahala popote magufuli aliwahi kusema chanjo ni mbaya.. nachokumbuka Magufuli alisemaga before hatujaruhusu chanjo kutumika lazima tujiridhishe.. hapa unatufunga kamba bro, au unakamilisha usemi wa "wakenya ni waongo"...?
 
Serikali ya Kenya inakusanya kodi mara mbili ya Tanzania. Uchumi wa kwenye makaratasi unaonekana wazi sasa.

Alafu hizo pesa huwa mnafanyiaga nini.? Mana hata kutengeza 10km road mpaka mkope.. au KRA imeongeza sifuri.? Coz as we talking right now Tanzania iko na miradi mingi U/C ya serikali mara kumi ya miradi yote inayofanywa na serikali ya Kenya, je ni uongo kwamba uchumi wenu upo kwenye makaratasi tu.?
 
Nikusaidie kidogo.., tafuta budget ya Kenya uisome uone allocation of funding kwa sectors tofauti, utaona pesa inaenda wapi na huwa hazitoshi bado, tuko na mengi ya kufinance, kama tu budget ya elimu pekee ni zaidi ya development ya Tz.., wacha ku expose your ignorance kaka, wenzako ndiyo walikurupuka hivyo nawe bila ya kuchunguza unakurupuka kama vilaza wenzako.,
 
Back
Top Bottom